Dodoma: Hatimaye kinara wa dawa za kulevya, Suleiman Mbaruku Suleiman aka Nyanda adakwa

RAIN BOW GRILL PUB HAPO NDO HUB YA BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA DODOMA, SISEMI KWAMBA MMILIKI NDO MUUZAJI HAPANA, HAPO NI TRADE CENTRE TU
 
Mzee,
Kuna watu wanafanya miundombinu yaan huwezi KUMJUA GODFATHER.

Hao wanao kamatwa ni CHAWA wadogo wadogo at least PAUL MAKONDA aliwachachafya kinomaa nomaa..
 
Safi mkuu, ila najiuliza hii biashara madawa ya kulevya Yana uhusiano gani dini ya Imani Fulani! Kila siku wao Tu!
 
Mwenye picha ya Nyanda tafadhali...
Hata mie nataka nimwone......ila kwa jina na umri nikihusisha na hiyo aka Nyanda kama namfahamu ila sina uhakika maana niliishi Dom kitambo sana

Kama hiyo aka Nyanda itahusishwa au imetokana na majukumu ya golikipa uwanjani basi atakuwa mwenyewe maana kuna mwamba mwenye umilki wa jina linalofanana na hilo alikuwa golikipa miaka ya 90 na alikuwa anaishi mitaa ya Airport
 
Wakati huo huo amesema, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanya operesheni katika maeneo mbalimbali nchini kati ya Oktoba na Novemba 2024 na kufanikiwa kukamata kilogramu 1,066.105 za dawa za kulevya.
 
Upo sahihi kabisa
 
Dunia ishaisha hii kikubwa Mungu tu aje aichukue Mapema maana haipo namna nyingine. Kwa mahasi haya sioni maana Tena ya mwanadamu kuwepo kwenye Dunia hii tena
 
waanze kumkamata Siro yeye ndie kinara wa hizo kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…