Dodoma: Hofu yawakumba Wajumbe!

Dodoma: Hofu yawakumba Wajumbe!

Bora kura ya siri, mimi nina ushahidi wa bajeti kubwa kupangwa na watu fulani kununua kura za wabunge walafi ili potelea mbali waisaliti nchi yetu. Ccm sio wajinga
 
inasikisha sana hivi CCM wanashindwa kuwa na akili, hekima na busara? wao wanachaguliwa wa siri leo wanataka wazi hili swala litawagawa ccm wenyewe na dhambi hii haitakwisha
tangu lini ccm wakafuata maslahi ya mwananchi?
 
Huyu mtu anayejiita simiyu yetu, sio wa kawaida, ni shetani mtoto wa masheta ccm, huyu ni chakula ya mwigulu nchemba na mashetani wengine huko ccm, hajielewi kabisa, jamaa wanamfanya mbaya mpaka ubongo umepotea kabisa, ndio maana anaongea pumba tu.
 
Kura ya siri ndiyo inatakiwa, si hii ya wazi inayopigiwa chapuo na hawa walioifilisi nchi.
 
Kuchaguliwa kwa watoto vigogo kugombea Majimboni ni kioo tosha cha chama kukosa demokrasia. Watoto hao wanachaguliwa kwa kuwaogopa wazazi wao na kuepuka kuwaudhi.Basi.Si jambo jema hata kidogo

Mzee Tupatupa


Atleast nimeona kuna wanaCCM wa JK Nyerere bado wapo.Hongera sana kwa kuliona hilo.Ila mna kazi ya kulirekebisha ili kukitetea chama kiendane na siasa za kisasa.

Asante sana kwa majibu yaliyotoka ndani ya moyo wako.Nitazidi kukupongeza kwa kuliona hilo kwa manufaa ya Taifa letu.
 
Kwenye vikao vya chama wameongea kwa kujiachia hakuna aliyetishwa njoo namlingine mkuu.

Umetumia sana mata*o kufikiri kiasi kwamba umesha kuwa mwehu ,hujui Giza wala mwanga,mchana wala usiku ,nyeupe wala nyeusi
 
Jamani wana JF, mimi nina suluhisho juu ya mgongano uliopo Dododma kuhusiana na suala la ama wapige kura ya siri au wazi ili kupitisha maamuzi ya mijadala au kuhusu kupitisha maamuzi ya katiba. Njia yenyewe ni kuwa maadamu pande zinazovutana juu ya kura ya wazi au ya siri idadi yao ni karibu sawa (kimtazamo) basi suluhisho lake ni kupiga kura mara mbili: Mara ya kwanza wajumbe wote wapige kura ya wazi, na matokeo yake yahesabiwe, na Mara ya Pili wajumbe wote wapige kura ya Siri na matokeo yake yajumuishwe na yale ya kwanza na utafutwe wastani, na mshindi aangaliwe iwapo amepata hiyo theluthi mbili au la. Kwa njia hii huu mzozo utakuwa umetatuliwa.
Naomba kuwakilisha
 
Hofu gani unalenga mbona mimi siioni hiyo hofu labda huko kwenu bavicha.

Kupewa Simiyu siyo tija ya kuona kila mwenye mtizamo tofauti ni mtu wa CDM. Inawezekana hata unaowaona kuwa chama hicho wanakuzidi ukereketwa ndani ya CCM.
Kumbuka kamati ya Katiba imetoa msimamo wa waliochangia na walio wengi. Wengi wa wanakamati ya katiba ni CCM tena waanzilishi, hata kiongozi wao.
Sidhani kuwa suala tuliangalie ki-vyama bali tuliangalie kama watanzania. Tumeona gharama ya mchakato wa katiba, hatutaki kubadili katiba baada ya 10 years.
Anjo.
 
Hofu gani unalenga mbona mimi siioni hiyo hofu labda huko kwenu bavicha.

Wewe fanya ushabiki wako tu hujui kinachoendelea katika ulimmwengu wa Roho ' It is a matter of time you shall know'

'UKIONA NABII AMETOKA KWENYE MNARA AMESHUKA MJINI UJUE KUNA JAMBO LA HERI AU SHARI KUTOKA KWA MUNGU' NA UKITAKA KUJUA HASIRA YA MUNGU MCHOKOZE MTUMISHI WAKE;Aliye na masikio na asikie.....
 
Back
Top Bottom