figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam Wakuu,
Imegundulika Ikulu ya Tanzania iliyozinduliwa hivi karibuni iyopo Chamwino Jijini Dodoma, imejegwa Juu ya Madini tofauti 28 ikiwemo dhahabu
Sio Ikulu ya Chamwino tu, bali Dodoma yote na Wilaya zake zina Madini tofauti. Huko tuendako, Tujiandae Bunge kuhamishwa na kupewa Wawekezaji wa Madini hasa GGM.
Hii taarifa ni kwa mujibu wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST).