figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Inategemea na kiwango sio viwango vyote vinafaa kwa comercial,Walifanya kosa kutokufanya sterilization drilling kabla ya kuamua kupima viwanja na kugawa maeneo.
Kwa nini? Labda haujanielewa tu, kwenye Uislamu kuna kitu kinaitwa ummah na ndiyo muhimu lkn siyo Taifa, labda kama watageuza Taifa kuwa ummah kwa maana ya sharia state ambapo kila mti atakuwa Muislamu …Kijakazi, Kijakazi, unamwaga petrol kwenye moto, Mungu atakuhukumu, najua unachichea usichokijua
Makao makuu tangia hapo bado yapo dar,hayo ya Dom ni kiini macho.Hii sio mbinu ya kurudisha Makao Makuu ya. Nchi DAR ES SALAAM?