dafity
JF-Expert Member
- Aug 16, 2008
- 1,858
- 2,059
Baada ya Serikali kuanza kuhamia Dodoma sasa nimesikia ETI
1. Kasi ya kuibadili manispaa IWE JIJI imeongezeka na huenda mwakani 2017 Dodoma ikawa jiji la 6 hapa Tanzania.
2. Kituo kikubwa cha Televisheni kujengwa humo tofauti na sasa televisheni zinazoonekana Dodoma zote hurusha matangazo kutoka nje ya Dodoma
3. Usafiri wa treni ya kasi kwa reli ya kisasa (Standard Gauge) kuanzishwa kutoka Dodoma kwenda mikoa ya pembezoni
4. Ukumbi mkubwa wa mikutano kujengwa.
NB: Ifikapo mwaka 2020 Dodoma itakua imepiga hatua nyingi kimaendeleo. Hongera Rais wangu JPM kwa DHAMIRA YA DHATI uliyonayo. Aliahidi Nyerere na tunaamini Mungu atakuwezesha KUITIMIZA AHADI