Tetesi: Dodoma Itakua Hivi...

Tetesi: Dodoma Itakua Hivi...

Itasaidia pia kuumguza foleni Dar. Barabara ya Morogoro itaongeza ubize. Wanasiasa ndio wtakuwa wa kwanza huko wengine wataenda taratibu.
Wengine wapi mkuu? hivi dom hadi arusha pametengwa na mikoa mingapi?
 
Afadhali watu wakipungua mambo ya bomoa bomoa pia yatasahaulika kabisa watu tutaendelea kushi kwenye squatters zetu bila shida.
 
Idodomya
plate10.jpg
 
Anatoa Hongera kwa Rais ingawa bado ni tetesi, akili za watu ngumu sana
 
Tutakua tukisikia habari nyingi zikimalizikia na hiv..(Kutoka Dodoma Mimi nii....)
 
kweli bora wapunguziwe dom, labda barabara za dar zitapumua kidogo
 
believe me or not,kuhamia dodoma kutatikisa uchumi wa taifa kwa miaka kumi,sasa kama sasa watu wanalia maisha magumu wajue ndio watalia sana maana kuhamisha serikali sio kama kuhamisha kitanda kutoka chumba hiki kwenda chumba kile kunahitaji muda,pesa,mipango .njaa itatuua msimu huu
Acha woga Mdukuzi
 
Hii ni master plan ya 1976, sasa sijui kama bado inafaa kwa muda huu!
 

Attachments

  • 7-plan-maestro-dodoma-tanzania-1-638.jpg
    7-plan-maestro-dodoma-tanzania-1-638.jpg
    64.5 KB · Views: 100
Baada ya Serikali kuanza kuhamia Dodoma sasa nimesikia ETI
1. Kasi ya kuibadili manispaa IWE JIJI imeongezeka na huenda mwakani 2017 Dodoma ikawa jiji la 6 hapa Tanzania.

2. Kituo kikubwa cha Televisheni kujengwa humo tofauti na sasa televisheni zinazoonekana Dodoma zote hurusha matangazo kutoka nje ya Dodoma

3. Usafiri wa treni ya kasi kwa reli ya kisasa (Standard Gauge) kuanzishwa kutoka Dodoma kwenda mikoa ya pembezoni

4. Ukumbi mkubwa wa mikutano kujengwa.

NB: Ifikapo mwaka 2020 Dodoma itakua imepiga hatua nyingi kimaendeleo. Hongera Rais wangu JPM kwa DHAMIRA YA DHATI uliyonayo. Aliahidi Nyerere na tunaamini Mungu atakuwezesha KUITIMIZA AHADI
And SO WHAT
 
Watuachie Dar yetu pendwa! vipi kwenye bunge la bajeti DOM ilitajwa? Naskia harufu ya njaa kali yaja ! Shkamoo sirikali!
 
Back
Top Bottom