Tetesi: Dodoma Itakua Hivi...

Itasaidia pia kuumguza foleni Dar. Barabara ya Morogoro itaongeza ubize. Wanasiasa ndio wtakuwa wa kwanza huko wengine wataenda taratibu.
Wengine wapi mkuu? hivi dom hadi arusha pametengwa na mikoa mingapi?
 
Afadhali watu wakipungua mambo ya bomoa bomoa pia yatasahaulika kabisa watu tutaendelea kushi kwenye squatters zetu bila shida.
 
Anatoa Hongera kwa Rais ingawa bado ni tetesi, akili za watu ngumu sana
 
Tutakua tukisikia habari nyingi zikimalizikia na hiv..(Kutoka Dodoma Mimi nii....)
 
kweli bora wapunguziwe dom, labda barabara za dar zitapumua kidogo
 
Acha woga Mdukuzi
 
Hii ni master plan ya 1976, sasa sijui kama bado inafaa kwa muda huu!
 

Attachments

  • 7-plan-maestro-dodoma-tanzania-1-638.jpg
    64.5 KB · Views: 100
And SO WHAT
 
Watuachie Dar yetu pendwa! vipi kwenye bunge la bajeti DOM ilitajwa? Naskia harufu ya njaa kali yaja ! Shkamoo sirikali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…