Tetesi: Dodoma je ni kweli kuna kimondo kimeanguka huko?

Tetesi: Dodoma je ni kweli kuna kimondo kimeanguka huko?

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,128
Reaction score
11,921
Maana naona taharuki kwenye grup moja wapo WhatsApp, picha na video zikionesha huu mwanga mfano wa moto, huku hao wadada katika video wakisema kimeanguka, moto unawaka lakini hapateketei huku kukididimia..

Kama upo dom umesikia hii em jaziliza nyama kidogo.. Sijashawishika kwa maelezo ya picha na video za wanadada hao.
IMG-20190423-WA0030.jpeg
 
Au wenye anga wa mtaa wenu wameweka kambi eneo hilo
 
ww izo ni frash light ,huwa zinatoa mwanga wa namna iyo na zenyewe haziwaki kama moto bali kama moshi wa rangi mkali
 
ww izo ni frash light ,huwa zinatoa mwanga wa namna iyo na zenyewe haziwaki kama moto bali kama moshi wa rangi mkali
Ni flash (emergency signal) light zinazokuwa kwenye gari, hutumika wakati wa dharura ili uonekane
 
Back
Top Bottom