Ahaa kumbe mkuu upo pande za makole
Mi nilikuaga pande za kisasa huko..
Nadhani vile vidawa vya mbu vya kuchoma wana mix na bangi sikuizi
Mimi natokea BagamoyoOye. Unatokea pande hiyo mkuu!
Ni flash (emergency signal) light zinazokuwa kwenye gari, hutumika wakati wa dharura ili uonekaneww izo ni frash light ,huwa zinatoa mwanga wa namna iyo na zenyewe haziwaki kama moto bali kama moshi wa rangi mkali
Ni flash (emergency signal) light zinazokuwa kwenye gari, hutumika wakati wa dharura ili uonekane