Dodoma: Jeshi la Polisi lamuita Cyprian Musiba kwa mahojiano kuhusu tuhuma za kutaka kuuawa

hii serikali movies zake ni kama isidingo haziishi kila siku ni kipande kipande
 
mbuzi wa bwana herry kala mahindi shambani mwa bwana heri hakuna kesi hapo
 
Polisi waambiwe Wananchi tumemuombea msamaha wamuachie tu..

Na kama kwa mbinu hii wasipofanikiwa kupoteza hili la Ka flag, hawatofurahi hata kidogo.
 
Mara jeshi la polisi limemuita musiba kwa mahojiano. Mara musiba amemakatwa na jeshi la polisi. Habari sahihi hapa ni ipi? Ama ndio ramli zinaendelea?
 
Nafikiri hiyo post imezidi ukubwa wa IQ yako kuelewa mambo
Unahitaji kula virutubisho kichwa kiko empty
Mkuu umefikisha ujumbe vizuri sana, nasikitika hujaeleweka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…