Dodoma jiji Fc to Wattford fc, Wattford fc to Yanga sc hii apa

Nashkuru kwa ufafanuzi,kwaiyo taarifa za viongozi wa Dodoma kudai kuwa Ambundo bado ni mcheza wao ni uzushi?
Ndio mkuu hazina ukweli wowote, maana kupitia mtandao wa kijamii wa Dodoma jiji washamtakia kheri Ambundo ya kuondoka siku nyingi Ila watu walikuwa hawajui wanaenda wapi, Hadi Yanga ilipotoa majina ya wachezaji ambao watashiriki Kagame cup ndio jina la Ambundo likaonekana
 
Aliye comment hapo ni Simba, vikishavaa zile chupi za jero jero hujiona Madrid au Barecelona.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
kucheza ligi ya england inabidi nchi yako iwe top 70 kwenye rankings za fifa otherwise iwe special case kama ya samatta kucheza nchi ya ulaya for several years na caps za kutosha za team ya taifa au wanyama alivyopitia scotland plus simu ya raila odinga akiwa prime minister wa kenya aliyopiga kwa wakubwa huo UK ku lobby ili wanyhama aweze kucheza southmpton
 
Wattford wapo championship mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…