Anigrain
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 1,680
- 4,204
Ndio mkuu hazina ukweli wowote, maana kupitia mtandao wa kijamii wa Dodoma jiji washamtakia kheri Ambundo ya kuondoka siku nyingi Ila watu walikuwa hawajui wanaenda wapi, Hadi Yanga ilipotoa majina ya wachezaji ambao watashiriki Kagame cup ndio jina la Ambundo likaonekanaNashkuru kwa ufafanuzi,kwaiyo taarifa za viongozi wa Dodoma kudai kuwa Ambundo bado ni mcheza wao ni uzushi?