RESOLVED KERO Dodoma Jiji mlichimba barabara kisha mmezitelekeza mwezi sasa, shughuli nyingi zimeathirika

RESOLVED KERO Dodoma Jiji mlichimba barabara kisha mmezitelekeza mwezi sasa, shughuli nyingi zimeathirika

Imefanyiwa kazi au kupatiwa ufumbuzi na Mamlaka husika
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891

Dodoma Jiji walitangaza kujenga barabara zilizopo katikati ya jiji mwezi mmoja uliopita (Juni 2026) wakachimbua barabara maeneo ya mjini ambapo kuna biashara zetu na ofisi wamezitelekeza bila matengenezo yoyote, mfano hapo kwenye video ni Mitaa ya CDA Uhindini Dodoma.

Hali hii imesababisha usumbufu kwetu na biashara zetu halafu hawahawa jiji wanataka tuwalipe kodi ya halmashaul wakati kwa mwezi wamesababisha usumbufu kwenye ofisi zetu na biashara, kama mlikuwa hakuna bajeti mlichimbua za nini.

Pia soma ~ Barabara za Dodoma Jiji zilizochimbwa na kutelekezwa zimeanza kurekebishwa
 
Wanachimba mitaro na slab hawaweki jau kweli hawa wakandqrasi
 
Back
Top Bottom