Dodoma Jiji walitangaza kujenga barabara zilizopo katikati ya jiji mwezi mmoja uliopita (Juni 2026) wakachimbua barabara maeneo ya mjini ambapo kuna biashara zetu na ofisi wamezitelekeza bila matengenezo yoyote, mfano hapo kwenye video ni Mitaa ya CDA Uhindini Dodoma.
Hali hii imesababisha usumbufu kwetu na biashara zetu halafu hawahawa jiji wanataka tuwalipe kodi ya halmashaul wakati kwa mwezi wamesababisha usumbufu kwenye ofisi zetu na biashara, kama mlikuwa hakuna bajeti mlichimbua za nini.