Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Ndo za mchana hiziNi jambo la aibu na fedheha kujitutumua kuwa mmepiga mpira mwingi kwa Dodoma Jiji ambao hawajaweka kambi uturuki, Hawana pro ata mmoja na bado Simba imepata matokeo ya kawaida katika soka.
Simba inatakiwa itambe kwa kupiga soka safi na kupata matokeo mbele ya Yanga, Azam na Singida.
Ukiona timu yako ina struggle kupata matokeo kwa timu izo nilizo zi ainisha ujue timu yako ni ya kawaida na haitaweza kutwaa ubingwa.
Wewe utakuwa shabiki maandazi. Ihefu waliwafunga Yanga msimu uliopita kwa hiyo Yanga wali struggle? Mpira ni mchezo wa makosa anayefanya makosa ndio anafungwa.Na kwenye ligi mechi zote ni ngumu hakuna timu laini.Ni jambo la aibu na fedheha kujitutumua kuwa mmepiga mpira mwingi kwa Dodoma Jiji ambao hawajaweka kambi uturuki, Hawana pro ata mmoja na bado Simba imepata matokeo ya kawaida katika soka.
Simba inatakiwa itambe kwa kupiga soka safi na kupata matokeo mbele ya Yanga, Azam na Singida.
Ukiona timu yako ina struggle kupata matokeo kwa timu izo nilizo zi ainisha ujue timu yako ni ya kawaida na haitaweza kutwaa ubingwa.
Ni kweli tumeona ni mchezo wa makosa ya kibinadamu. Maana Makosa ya kibinadamu kwa mmoja ya timu maarufu apa nchini ni mengi.Wewe utakuwa shabiki maandazi.Ihefu waliwafunga Yanga msimu uliopita kwa hiyo Yanga wali struggle?Mpira ni mchezo wa makosa anayefanya makosa ndio anafungwa.Na kwenye ligi mechi zote ni ngumu hakuna timu laini.
Kwani Dodoma jiji jezi zao za ugenini ni zipi tuanzie hapo kwanza, tutajie jezi za ugenini walizozitambulisha kabla ya msimu kuanza ndio tutaijadili hoja yako kama ni mfu au ina mashiko!Jana Dodoma jiji walivalia jezi nyeusi baada ya kudanganywa na utopolo kuwa ndio njia pekee ya kuikamata Simba kwenye mchezo huo, ni kweli mchezo ulikuwa mgumu sana baada ya kucheza defensive game huku sangoma akiwapa maelekezo namna ya kucheza.
Ila msimu huu mtatafutana sana, vaeni kila jezi lakini kazi mnayo.
Vipi tukiona timu inapokonywa ngao na timu ya kawaida?Ni jambo la aibu na fedheha kujitutumua kuwa mmepiga mpira mwingi kwa Dodoma Jiji ambao hawajaweka kambi uturuki, Hawana pro ata mmoja na bado Simba imepata matokeo ya kawaida katika soka.
Simba inatakiwa itambe kwa kupiga soka safi na kupata matokeo mbele ya Yanga, Azam na Singida.
Ukiona timu yako ina struggle kupata matokeo kwa timu izo nilizo zi ainisha ujue timu yako ni ya kawaida na haitaweza kutwaa ubingwa.
Ilo linawezekana kwakua tumeaminishwa marefa wanaibeba mbumbumbu fc kwa makosa ya kibinadamu.Vipi tukiona timu inapokonywa ngao na timu ya kawaida?
Mmeaminishwa is the key word.Na mkaamini ili kujipa faraja.Ni vizuri unakiri.Ilo linawezekana kwakua tumeaminishwa marefa wanaibeba mbumbumbu fc kwa makosa ya kibinadamu.