Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Jana Dodoma jiji walivalia jezi nyeusi baada ya kudanganywa na utopolo kuwa ndio njia pekee ya kuikamata Simba kwenye mchezo huo, ni kweli mchezo ulikuwa mgumu sana baada ya kucheza defensive game huku sangoma akiwapa maelekezo namna ya kucheza.
Ila msimu huu mtatafutana sana, vaeni kila jezi lakini kazi mnayo.
Ila msimu huu mtatafutana sana, vaeni kila jezi lakini kazi mnayo.