Dodoma Jiji wanaweza kuifunga Yanga, Je refa atakubali?!

Yanga inachotakiwa ni kushinda tu, iwe kihalali au si halali kikubwa ni ushindi tu. Kwa miaka minne Simba iliununua ubingwa Kwa pesa nyingi sana, Sasa hakuna shida na Yanga wakauchukua Kwa nguvu.
 
Vipi kuhusu yanga yeye ni wakufungwa tu?.
 
Utopolo hamna timu pale. Pumzi imeishakata kama miaka yao
 
View attachment 2222867
Mifano ya Yanga kusaidiwa ushindi na marefu ni mingi,haiesabiki. Dodoma Jiji wasiopohujumiwa na uongozi wanaweza kabisa kuifunga timu mbovu ya Yanga. Lakini najiuliza refa atakubali?!
Acha Ushabiki wa Passo kuvuta Prado kitu ambacho mtu hawezi kubeti kwani ni bahati nasibu
Yaani kwa Akili ya kawaida unaweza kurate Dodoma Jiji juu ya Yanga kisa imetoa droo mfululizo?
Kosa la Yanga ilikuwa ni kumtaka Mayele Afunge ili awe mfungaji bora ila wakiamua kila forward afunge mbona utaona magoli mengi tu na ndicho watafanya leo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…