Dodoma Jiji wapewa ahadi ya Tsh Milioni 30 wakiifunga Yanga

Pale Utopoloni wenye akili Ni wawili 2, yaani Mzee Manara na Jkikwete pekee.

Usijisahaulishe, Ushindi wa Tigo pesa uendeleee. Kuna siku akili zitakukaa sawa halafu utaelewa.
 
Hao maadui wa Yanga kwa kuwa ni mbumbumbu, baada ya mechi watasema tu. Maana midomo ndiyo mali yao.
 
Ata Simba ni tawi la Yanga Kwaiyo Dodoma Jiji asilaumiwe. Simba ndio timu inayo ongoza kufungwa na Yanga mara nyingi zaidi kuliko ata ao Dodoma Jiji.
 
Pale Utopoloni wenye akili Ni wawili 2, yaani Mzee Manara na Jkikwete pekee.

Usijisahaulishe, Ushindi wa Tigo pesa uendeleee. Kuna siku akili zitakukaa sawa halafu utaelewa.
Yaan apa tz timu zote ni matawi ya yanga ila tawi kubwa la yanga ni Simba ndio maana tumelifunga mara nyingi kuliko ayo matawi mengine yoote madogo madogo
 
Yaan hawa jamaa sasa ivi kila yanga inaposhinda wao ni lawama tu
Izo ni kelele za mfa maji.. Yanga ameshatawala soka la bongo Kwa Sasa na hamna kitu wanachoweza fanya Kwa Sasa, uwanjani wanabondwa na makombe yote wamenyang'anywa.. so kilichobaki tuwaache walie lie tu wapunguze machungu maana Wana maumivu makali sana
 
Timu ina support ya Mavunde hiyo halafu Mavunde ni utopolo 100%. Hapo labda wameahidiwa hiyo 30m ili kulegeza kamba Mayele afunge tena.
 
Timu ina support ya Mavunde hiyo halafu Mavunde ni utopolo 100%. Hapo labda wameahidiwa hiyo 30m ili kulegeza kamba Mayele afunge tena.
Kuna timu iliyofungwa na Mayele maranyingi zaidi ya Simba?wenye kumbukumbu nisaidieni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…