Dodoma Jiji wapewa ahadi ya Tsh Milioni 30 wakiifunga Yanga

Joined
Oct 19, 2022
Posts
62
Reaction score
59
Timu ya Dodoma Jiji wameahidiwa Tsh mil. 30 kwenye mechi yao baadaye endapo kama wataifunga Yanga.

Kwa maana hiyo ikiwa Yanga itashinda katika hii mechi basi naamini hatutasikia tena maneno kutoka kwa maadui wa Yanga kuwa Yanga wametoa bahasha ili ipate matokeo.
 
Yanga ndo wamewaahidi
 
Hizo milioni 30 zimetoka kwa GSM, kuzuga watu. Wakijua Lazima watawafunga tu. Dodoma jiji Ni tawi la Yanga.
 
Maelekezo lazima yawepo,aliyeahidi hizo hela ni nani?
 
Hizo milioni 30 zimetoka kwa GSM, kuzuga watu. Wakijua Lazima watawafunga tu. Dodoma jiji Ni tawi la Yanga.
Haya ni mawazo ya hovyo kabisa kufikiri eti kuna timu ya Ligi kuu ni tawi la mwenzake hivyo inaingia kucheza ikijua inawaachia ifungwe? SHAME!!! Hebu tujikite kwenye mpira tuachane na mawazo ya kusadikika
Kimsingi Uekezaji wa Simba na Yanga sio wa kutilia mashaka KWA MTU MWENYE AKILI
 
Simba alimfunga dodoma jiji 3-0 kwa mkapa nayo gsm alitoa hela?heshimu uwezo wa yanga
Tunajua jinsi ushindi wenu unavyopatikana. Si kwa uwezo wa mpira wa Yanga Bali hela za GSM.Bahasha zinatembea.

Sasa hivi mnapambana kufikia rekodi za Aseno.
 
Dodoma Jiji wanaongea kinyume. Wameahidiwa milion 30 Ili kuwaruhusu Yanga washinde.

Akina Mavunde lazima waisaidie Yanga ishinde.

Pale Yanga ipo Kamati maalumu kabisa ya kuratibu hizi Bahasha na kurubuni timu pinzani Ili Yanga ishinde.
 
Dodoma jiji na tawi la Uto iyo ni zuga tu kutaka kumaliza upepo wa zengwe la Uto kununua mechi.
 
Haya ni mawazo ya hovyo kabisa kufikiri eti kuna timu ya Ligi kuu ni tawi la mwenzake hivyo inaingia kucheza ikijua inawaachia ifungwe? SHAME!!!
Hebu tujikite kwenye mpira na tuachane na mawazo ya kusadikika
Kimsingi Uekezaji wa Simba na Yanga kwenye mpira sio wa kutilia mashaka KWA MTU MWENYE AKILI!
Yanga 4-1singida =bahasha alafu Simba 4-0 ruvu shooting=chama noma hao ndio mashabiki wa sembe fc walivyochanganyikiwa yaani mafanikio wapate wao tu ila wakipata wengine inakuwa mateso kwao yaan wanaamini ktk mpira wa nchi hii wao ndio wenye haki ya kupata furaha na si vinginevyo
 
Dodoma Jiji wanaongea kinyume. Wameahidiwa milion 30 Ili kuwaruhusu Yanga washinde.

Akina Mavunde lazima waisaidie Yanga ishinde.

Pale Yanga ipo Kamati maalumu kabisa ya kuratibu hizi Bahasha na kurubuni timu pinzani Ili Yanga ishinde.
Km ni ivyo si mchezo maana ii kamati ni noma maana inawarubuni hadi makolo maana kila wanapokutana na yanga ushindi wao ni sare
 
Umevimbiwa mihogo. Sare Ni ushindi?

Wenye akili pale Utopoloni ni 2 tu. Mzee Manara na J. Kikwete , Basi!
 
Back
Top Bottom