Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
kwetu sisi ambao tuna makazi Dodoma, wakati fulani tunaenda kuishi Dodoma na wakati fulani tunarudi jijini, kuna kitu kinakera sana Dodoma, nacho ni barabara za mitaani, hata kipindi cha mvua mbacho wamesema hakiko mbali.(walituambia kuna uwezekano el ninyo ikaja october).
Serikali, Dodoma imepangwa vizuri sana, mnashindwa nini kuweka lami mitaani? barabara za tope na udogo wa kule ni mbaya unazamisha sana tairi za gari, kipindi cha mvua usiombe upite kwenye tope, gari lazima ilale, tofauti na tope la dsm na maeneo mengine ambayo unaweza kupita hata wakati wa mvua. dodoma ikinyesha udongo wake ni mbaya .
wekeni lami bwana.