Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Pesa kuweka lami Dodoma inatoka wapi? Wagogo maskini hakuna utalii wala kilimo wala viwanda ni kwa nini wapendelewe wakati kodi kubwa inatoka Dar Ar Mwanza na Moshi? Tuanzie kwanza hapokwetu sisi ambao tuna makazi Dodoma, wakati fulani tunaenda kuishi Dodoma na wakati fulani tunarudi jijini, kuna kitu kinakera sana Dodoma, nacho ni barabara za mitaani, hata kipindi cha mvua mbacho wamesema hakiko mbali.(walituambia kuna uwezekano el ninyo ikaja october). Serikali, Dodoma imepangwa vizuri sana, mnashindwa nini kuweka lami mitaani? barabara za tope na udogo wa kule ni mbaya unazamisha sana tairi za gari, kipindi cha mvua usiombe upite kwenye tope, gari lazima ilale, tofauti na tope la dsm na maeneo mengine ambayo unaweza kupita hata wakati wa mvua. dodoma ikinyesha udongo wake ni mbaya . wekeni lami bwana.
Pesa kuweka lami Dodoma inatoka wapi? Wagogo maskini hakuna utalii wala kilimo wala viwanda ni kwa nini wapendelewe wakati kodi kubwa inatoka Dar Ar Mwanza na Moshi? Tuanzie kwanza hapo
Huna akili na huna unachojua. Endelea na unachoweza siyo kwenye masuala kama haya.Pesa kuweka lami Dodoma inatoka wapi? Wagogo maskini hakuna utalii wala kilimo wala viwanda ni kwa nini wapendelewe wakati kodi kubwa inatoka Dar Ar Mwanza na Moshi? Tuanzie kwanza hapo
Jibu hoja Dodoma wanachangia nini hadi wapendelewe kwa nini Singida au Morogoro wasipendelewe?Huna akili na huna unachojua. Endelea na unachoweza siyo kwenye masuala kama haya.
Mfano michesse road kutokea mirembekwetu sisi ambao tuna makazi Dodoma, wakati fulani tunaenda kuishi Dodoma na wakati fulani tunarudi jijini, kuna kitu kinakera sana Dodoma, nacho ni barabara za mitaani, hata kipindi cha mvua mbacho wamesema hakiko mbali.(walituambia kuna uwezekano el ninyo ikaja october). Serikali, Dodoma imepangwa vizuri sana, mnashindwa nini kuweka lami mitaani? barabara za tope na udogo wa kule ni mbaya unazamisha sana tairi za gari, kipindi cha mvua usiombe upite kwenye tope, gari lazima ilale, tofauti na tope la dsm na maeneo mengine ambayo unaweza kupita hata wakati wa mvua. dodoma ikinyesha udongo wake ni mbaya . wekeni lami bwana.
hivi unajua wagogo pale mjini ni wachache sana, pale wamejaa watu wa makabila mengine. labda ungesema warangi kidogo. wagogo wamesukumwa pembeni ya mji huko.Pesa kuweka lami Dodoma inatoka wapi? Wagogo maskini hakuna utalii wala kilimo wala viwanda ni kwa nini wapendelewe wakati kodi kubwa inatoka Dar Ar Mwanza na Moshi? Tuanzie kwanza hapo
kwamba hajui dodoma inazalisha wabunge wa hovyo wa sisiemu. wote wana makazi pale.Hahaha kwamba hawazalishi chochote?
Kwani tuna serikali ya majimbo kwamba kwa vile Dodoma haichangii pakubwa haiwezi kujengwa? Centralised govt inaipa Dodoma nafasi ya kuendelezwa kama ilivyo Dar na mikoa mingine, even distribution ya maendeleo.Jibu hoja Dodoma wanachangia nini hadi wapendelewe kwa nini Singida au Morogoro wasipendelewe?
Kweli mada imekuzidi kipimoJibu hoja Dodoma wanachangia nini hadi wapendelewe kwa nini Singida au Morogoro wasipendelewe?