tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Sikuzote walikuwa wapi hawa majambazi?Amesema kutokana na eneo hilo kuwa la hatari kwa waendesha vyombo vya moto na watembea kwa miguu Jeshi la Polisi litaimarisha usalama katika eneo
Ha! Punguza sukari boss! Haya mambo ni ya ghafla na dharuraSikuzote walikuwa wapi hawa majambazi?
Statement yake inasema kwamba walijua pale kuna shida ila hawakujali, baada ya watu kufa ndio wanaibukaHa! Punguza sukari boss! Haya mambo ni ya ghafla na dharura
Hawa wajinga wasipochukuliwa hatua wataua watu wengi sana. Huwa nawaona sana njia ya Mji Mwema-Kimbiji Kigamboni.Zinatembeaga hizo lori...
Yani wanaendesha utafikiri subaru! Wenyewe wanakuambia nyepesi kuendeshaHawa wajinga wasipochukuliwa hatua wataua watu wengi sana. Huwa nawaona sana njia ya Mji Mwema-Kimbiji Kigamboni.