YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Wala sojaitunga kwa taarifa yako ni yake mwenyewe Rashid Mchatta na iko.correct asilimia 100CV ya mtu haihusiani na demokrasia ya nchi, ni vizuri muhusika akupe CV yake badala ya wewe kujitungia, hata hivyo wewe si muhusika kwenye uteuzi wa wagombea aliyewateua ndiye anatakiwa aweke CV zao ili tujue vigezo vya uteuzi, usijipe madaraka yasiyokuhusu.
Bado Rashid Mchatta kijana ana nguvu na uwezo wa kutumikia skauti kwa kipindi kirefu