Dodoma: Mkutano wa Kwanza Bunge la 13 November 11, 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Leo, Novemba 11, 2025, Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaanza rasmi vikao vyake kwa kufanyika kwa kikao cha kwanza cha mkutano wa kwanza wa Bunge hilo.

Kazi kubwa inayotarajiwa kufanyika leo ni uchaguzi wa Spika wa Bunge, ambapo vyama Sita vimewasilisha wagombea huku mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia alikuwa Naibu Spika, Mussa Zungu, akipewa nafasi kubwa ya kushinda kiti hicho. Wagombea wengine ni Veronica Charles Tyeah (NRA), Anitha Alfan Mgaya (NLD), Ndonge Said Ndonge (AAFP), Amin Alfred Yango (ADC) na Chrisant Nyakitita (DP).

Bunge hilo linaundwa na wabunge 272 waliochaguliwa majimboni, wabunge 115 wa viti maalumu pamoja na wabunge sita walioteuliwa na Rais Samia, kwa mujibu wa Katiba inayompa mamlaka ya kuteua wabunge 10.

Aidha, wabunge pia watachagua Naibu Spika, ambapo aliyekuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo, anatabiriwa kushinda nafasi hiyo.

Baada ya uchaguzi huo, Bunge litafanya kazi ya kuidhinisha jina la Waziri Mkuu, kabla ya Rais Samia Suluhu Hassan kulizindua rasmi Bunge hilo jipya.

Anayeongoza Kikao cha Uchaguzi wa Spika ni Mbunge wa Isimani, William Lukuvi

Wabunge Wanaendelea na kupiga kura

Jumla ya Wabunge Wateule 383 wamepiga kura kumchagua Spika. Kwa sasa zoezi zinaloendelea ni kuhesabu kura

Matokeo ya kura

Katika upigaji kura; Jumla ya kura zilizopigwa ni 383 na katika kura zilizoharibika ni 3 ambapo kuna Wabunge wamepigia kura Wagombea wawili.

Aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge na Mbunge mteule wa Ilala, Musa Azzan Zungu amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Tanzania baada ya kupata kura 378 kati ya kura zote 383 zilizopigwa leo Bungeni wakati wa Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Kumi na Tatu

Matokeo ya uchaguzi wa Spika wa Bunge

1. Mussa Zungu (CCM)
- 378
2. Veronica Charles Tyeah (NRA) - 0
3. Anitha Alfan Mgaya (NLD) - 1
4. Ndonge Said Ndonge (AAFP) - 1
5. Amin Alfred Yango (ADC) - 0
6. Chrisant Nyakitita (DP) - 0

Spika wa Bunge amearisha kikao cha Bunge hadi saa 11:00Jioni.

View: https://www.youtube.com/live/wGr431TDDSM?si=I3Lu9xjJjHwqNsWy

​
 
Shabiki wa Simpa ka ukwaa u Spika.
 
Mkuu tunakuheshimu sana
Ila hizi stori za bunge haramu zinatonesha vidonda vya watu

Hilo bunge kibogoyo linalipwa mabilion ya wananchi lakini lilifunga Sheria zilizopelekea kufunga hili jukwaa
 
Back
Top Bottom