Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
...sasa na nyie mpaka 'awaambie' kuwa hiyo ni experience yake aliyoipata wakati anaishi mikoa hiyo? ...aaaah, sio vizuri jamani kumsakama mwenzenu hasa linapokuja suala la kujaamiiana na mabinti toka huko...π
Bua ha ha ha...
Naona sasa unataka hii thread ihamishiwe kule kwenye 'Jokes na Utani'.
Kwenye thread za kiukweli hatuwezi kuvumilia vitu ambavyo vina mislead umma..'Mtaalam' huwezi kusema ugonjwa X ni STD halafu aje aseme tena ugonjwa unapatikana zaidi sehemu zenye vumbi..Hapa ni wazi huyu 'mtaalam' atakuwa hajui anachoongea na ni wa kuogopwa kama ukoma..
Bua ha ha ha...
Naona sasa unataka hii thread ihamishiwe kule kwenye 'Jokes na Utani'.
Kwenye thread za kiukweli hatuwezi kuvumilia vitu ambavyo vina mislead umma..'Mtaalam' huwezi kusema ugonjwa X ni STD halafu aje aseme tena ugonjwa unapatikana zaidi sehemu zenye vumbi..Hapa ni wazi huyu 'mtaalam' atakuwa hajui anachoongea na ni wa kuogopwa kama ukoma..
..'Mtaalam' huwezi kusema ugonjwa X ni STD halafu aje aseme tena ugonjwa unapatikana zaidi sehemu zenye vumbi..Hapa ni wazi huyu 'mtaalam' atakuwa hajui anachoongea na ni wa kuogopwa kama ukoma..
Mtindiowaubongo, sema wewe ndugu yangu, wengine tunaambiwa tunajifanya tunajua kila kitu wakati shule yetu ndogo. Ugonjwa wa STD na vumbi na ukosefu wa maji wapi na wapi ?
Eti ``mtaalam`` unakuja kusema hadharani kwamba wanawake wa mikoa ya kati hawana hygiene nzuri, wanawashwa sehemu za siri na kwamba ``dawa ya kitaalam ni kukunwa kwa sex`` matokeo yake gonjwa linasambaa!!
Sorry kwa wa mikoa hiyo kama message imeingia kwa namna hii ambayo imewavuruga hawa. Toka mwanzoni sikujua sababu ya huu ubishi, ingawa kama mtaalum niliyefundwa, natakiwa nihakikishe watu wanaishi salama hata hawa wabishibishi. Kwa sababu wasipopona hawa wataambukiza wengine. Ila nitawatafutia appropriate reference soon ya hiyo mikoa. Mtashangaa na si kunyamaza tu. Sometimes inabidi ukubali facts ili zikusaidie ku-change.
Tulieni, nyamazeni.
Kibaka huyo sana! Hawa wabinti hasa central line wakiaanza kupevuka, trichomas vaginaris inavamia maeneo ya chini huko inawawasha sana, wanadhani ni hamu ya sex kumbe infection! Kitaalamu best way ya kukuna ni sex, matokeo yake ndiyo haya.
Sex education TZ muhimu sana, hasa hii central line,,,,,Mororgo, Dodoma, Singida, Tabora, Shinganya mpaka Mwanza. Tatizo ni sugu sana
Mwanjelwa... tukubaliane kitu kimoja....trichomas vaginaris haitii wanafunzi wa kike mimba! Ni wanaume wakware (tena wengi watu wazima) kama sisi.
Mtindiowaubongo, sema wewe ndugu yangu, wengine tunaambiwa tunajifanya tunajua kila kitu wakati shule yetu ndogo. Ugonjwa wa zinaa na vumbi na ukosefu wa maji wapi na wapi ?
Eti ``mtaalam`` unakuja kusema hadharani kwamba wanawake wa mikoa ya kati hawana hygiene nzuri, wana wadudu sehemu za siri, wanawawasha, na kwamba ``dawa ya kitaalam ni kukunwa kwa sex`` matokeo yake gonjwa linasambaa!!
Unasema kituko kama hicho kwenye jamvi la watu elfu saba halafu kinapitapita tu, kinaonekana ni somo kwa jamii!?
What does that say, MtindiowaUbongo, about our society and the level of awareness on basic things scientific ? Eenh?
Kinachonishangaza zaidi, kinachonisikitisha, ni kwamba mtu kama YournamesisMINE ambae kutokana na posti zake humu ame indicate kuwa yupo kwenye field ya healthcare, nae pia anatetea tetea utumbo kama huo. Anasema ``hata kama maelezo yana mapungufu`` ni sawa kwa sababu ni kawaida. Badala ya kutoa mchango wa anachokijua anaamua kutetea uongo na upuuzi wa Mwanjelwa.
Eti hawa Mwanjelwa's of the forum ndio wataalam wetu hapa, na watu kweli wanabugia bugia gibberish kama hizo! Huyu Mwanjelwa ni clown mmoja hivi, I am not worried about him, the concern ni kwamba watu hawaoni kwamba jamaa ni a goof off!
Hebu nambie Mtindio wa Ubongo, huu sio upuuzi mshkaji ?
STDs nyingi, ikiwemoTV, kero yake ukeni ni kubwa sana in terms of itching kwa nje na ndani ya vagina. Tiba yake si ngono kama unavyotaka kuelewa. Hapa mwenye huo ugonjwa, mwanzoni vitu anavyohitaji ni kujikuna au kukunwa. Bila shaka umeshawahi kumwona mwanamke kasimama akijikuta kunako sehemu.
Hiyo sentensi ina maana gani kisayansi ? unakubali au unakataa maelezo yako mwenyewe ?!Si lazima iwe trichomoniasis, bali uwezekano mkubwa ni hiyo. Inapokuwa kwa ndani ngono inasaidia.
Kama Science ngumu kuelewa achana nayo kabisa....using'ang'anie vitu huwezi kuvielezea; unadanganya watu 7500 waliojiandikisha humu achia mbali wageni.Ngumu sana kuelewa hii kitu. Ni science.. Muhimu mwone daktari akupe maelezo sahihi kulingana na sehemu uliyopo.
π! Nimecheka sana sana mpaka baridi nimeniisha!. Nakuwa kama naona mtindio wako ulivyo! Huwa tunasema; njia nzuri sana kujihakikishia uimara wa afya yako ni kuonana na daktari wako. Atakuambia kama vagina yako iko infected au la pamoja na vitu vingine. Nenda kaichek ndugu mtindio. Unaweza kuta K yako iko infected! Hakuna mjadala kama hivi kwenye suala la afya.
Sorry kwa wa mikoa hiyo kama message imeingia kwa namna hii ambayo imewavuruga hawa. Toka mwanzoni sikujua sababu ya huu ubishi, ingawa kama mtaalum niliyefundwa, natakiwa nihakikishe watu wanaishi salama hata hawa wabishibishi. Kwa sababu wasipopona hawa wataambukiza wengine. Ila nitawatafutia appropriate reference soon ya hiyo mikoa. Mtashangaa na si kunyamaza tu. Sometimes inabidi ukubali facts ili zikusaidie ku-change.
Tulieni, nyamazeni.
Kwi kwi kwi..
Mtaalam! Mtaalam uliyefundwa? umefundwa wapi? Mlingotini? Knowledge gani uliyonayo?
Ila nitawatafutia appropriate reference soon ya hiyo mikoa.
Sorry kwa wa mikoa hiyo kama message imeingia kwa namna hii ambayo imewavuruga hawa.
...sikujua sababu ya huu ubishi, ingawa kama mtaalum niliyefundwa, natakiwa nihakikishe watu wanaishi salama hata hawa wabishibishi. Kwa sababu wasipopona hawa wataambukiza wengine.
Kwani reference ya Polymerase Chain Reaction diagnosis haitoshi?
Sasa ulibisha nini kwamba reference uliyoleta mwanzo ilikuwa irrelevant na kinyumenyume?
Sorry ni kwa ``mikoa hiyo`` au kwa ``hawa waliovurugwa``? Unaomba msamaha mikoa kwa ``hawa waliovurugwa``? Eti mtalaam!
Sasa kama ndo ``ulivyofundwa,`` una-appologize nini sasa?
Au labda hatuelewani, unapoongelea elimu ya ngono, magonjwa ya zinaa na utaalam wako, unaongelea ``kufundwa`` as in jandoni?
Kuhani na Mtindio, nawavumilia kwa kuwa hamuelewi na kwa namna hii mvvyoenda hamtaelewa daima. Uzuri wa medical science haina maneno maneno na hospital au maabara mtakuja kwa vyovyote vile. Nina hakika mtakuwa wapole tu.
Nimemaliza.
Watu wengine nashindwa kabisa kuwaweka katika mizania, yaani mtu anashindwa kuelewa kwamba pamoja na kuwa ugonjwa wa zinaa huambukizwa kwa ngono pia kuna viwezeshi ambavyo hisaidia ugonjwa kuambukizika kwa wepesi zaidi. hilo la wasichana kucharukwa na ngono kwa kanda hiyo si jambo la uzushi wala la siri kwani ukimuuliza mtu yeyote aliyeishi kanda hiyo atakwambia jambo hilo ni la kweli kabisa japo sababu yaweza ikawa si hiyo ya maradhi na ikawa ni nyingine kabisa. haya tujadili zaidi.
Naam, naona amepatikana mtaalam mwingine..Labda anisaidie kuelewa yafuatayo:
1. Ningependa kusikia zaidi kuhusu hivyo 'viwezeshi' vingine ambavyo vinasababisha STD zisimbae nje ya utaarabu unaoeleweka kisayansi..
2. Ningependa kujua zaidi kuhusu formal statistics za 'kucharuka' kingono unakokuzungumzia..(sio hearsay)
3. Ningefurahi kupata takwimu za maambukizi ya STD ktk kanda husika ili kuthibitisha 'ucharukaji' wa hiyo kanda kadr ya madai yako.
Nasubiri kwa hamu hii ilmu
Behavioural determinants:
Unprotected sexual behaviour among mobile population groups with multiple partners makes them vulnerable to HIV infection. The groups include long distance truck drivers who have been found to unprotect sexual intercourse with HIV sero-positivity of up to 50%.
This is because they have multiple sexual partners available in all major truck stops. Migrant or seasonal workers are also vulnerable. It has been found that farm and plantation workers in Iringa and Morogoro for example, have HIV prevalence of about 30%, which is very high compared to the general population.
source; Tanzania National Website