Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji Jacobs Mwambegele, amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, mkoani Dodoma, hususan katika majimbo ya Chamwino na Mtera leo Septemba 25, 2025.
Ziara hiyo ilikuwa na lengo la kukagua maandalizi ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29,2025.
Katika ziara hiyo, amepokea taarifa kutoka kwa msimamizi wa uchaguzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino kuhusu maandalizi ya uchaguzi huo wa Rais, Wabunge, na Madiwani.
Aidha, amekagua vifaa vya uchaguzi ambavyo tayari vimepokelewa katika halmashauri hiyo.