Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Viongozi wengi Makini huwa hawalali kabisa especially wakati kama Huu miswada ya ajabu ajabu inalelekwa bungeni ; Chama kinaelekea uchaguzi na tayari mmoja wa wagombea Makini ametangaza Nia
Sawa halali, sasa alikuwa ana rudi kwa miguu?? Au kwa Gari, gate anafungua mwenyewe au anafunguliwa?? Hana cctv hapo kwenye gate na gari yake haina cctv
 
Endeleeni kuumiza wazazi, wapendwa wa wenzenu lakini mjue machozi Yao MUNGU atayafuta tu!!

I
Kwenye siasa hakuna mungu,angekuwepo basi kila rais aliyepita angekuwa na hali mbaya maana karibu wote wameondoa haki za watu kuishi.
 
Huu ndio ushahidi kwa nini watu wanatunga sheria za kujilinda.

Pia swala la Lissu ni mwiba sana kwa sababu hakua asiye jua muhusika.

Kufuta habari za Lissu wameamua kuleta haya majanga.

Ipo siku CCM mtalazimishwa kunywa damu za watu. Waulizeni wacongo chini ya mabutu.
 
Wasenge wamemfanyia makusudi ili asipige kampeni.


Unakuta hapo kuna wabunge wa CCM wanachekelea.
 
Mbowe hana walinzi ktk hali hii ya watu wasiojulikana kweli? Anyway ngoja niifuatilie hii habari vema........Pole kwa KUB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…