jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Lini umeanza kunishambulia badala ya kujibu hoja?Unapokuja kwenye jukwaa la siasa unakuwa mjinga sana
Jr[emoji769]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini umeanza kunishambulia badala ya kujibu hoja?Unapokuja kwenye jukwaa la siasa unakuwa mjinga sana
Jr[emoji769]
Ile reaction ya mataga jana baada ya Lissu kutangaza nia nilijua tu lazima watakuja kimalaya. Shame on you Mataga.
Ndiyo muhalalishe ugaidi wenu?Usiku wa saa tisa alikuwa anatoka wapi?
Sure..God prevail... He will get well the soonest Inshallah
Jr[emoji769]
Ama wanalipa kisasiVijana wa chadema watammaliza mbowe,inaonekana hawampendi mbowe
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Sawa halali, sasa alikuwa ana rudi kwa miguu?? Au kwa Gari, gate anafungua mwenyewe au anafunguliwa?? Hana cctv hapo kwenye gate na gari yake haina cctvViongozi wengi Makini huwa hawalali kabisa especially wakati kama Huu miswada ya ajabu ajabu inalelekwa bungeni ; Chama kinaelekea uchaguzi na tayari mmoja wa wagombea Makini ametangaza Nia
Kwenye siasa hakuna mungu,angekuwepo basi kila rais aliyepita angekuwa na hali mbaya maana karibu wote wameondoa haki za watu kuishi.Endeleeni kuumiza wazazi, wapendwa wa wenzenu lakini mjue machozi Yao MUNGU atayafuta tu!!
I
Amka peke yako.Jamani tuamke sasa wakati ni huu
Rais alisema by 2020 ataufuta upinzani kabisa ndio hivyo anatekeleza.Sasa umeongeza kuwa ni "green guards"... tuwe waangalifu... tusije kushindwa kupata ukweli kwa sababu mawazo yetu tayari yameanza kuelekezwa sehemu fulani..