Sio mzima huyo mzee kazi kujifanya mjuaji tu tusi hapa limeshaniponyokaBrother Mshana nilikuwa nakuheshimu sn, but naona something wrong kwako
Huyo Raila naye si amesha legezwa na Uhuru anapekekeshwa tu kama kishada, Raila kwisha habari yakeHivi nyie CDM ni chama kikuuu Cha upinzani kweli?mnaonewa mmebaki kulalamika Kama wanawake tu wkt mna mtaji wa watu 6m?kwa ujinga huu mtanyanyaswa sana tena sana...mguse MALEMA pale kwa MADIBA uone Moto wake...mguse Raila hapa Kenya....shame on u
Cheki ngumbaru hiiBaada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
Sio kweli mkuu, Dodoma ni mji salama sana.Dodoma sio salama tena, Mji mdogo mambo mengi.
Huyo dokta wako wa kutibu kuku sisi tunamuona mkoma tu tumeshampuuza ni wajinga tu wanaoweza kuamini ujinga wake.Baada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
Intelijensia ya jamaa zetu ita kuambia kajivamia mwenyewe.. Tuombe Mungu huyu jamaa na kundi lake la wahuni wamalize muda wao wa uongozi. This is too much nowView attachment 1472626
View attachment 1472650
Salaam,
Taarifa nilizozipata hivi punde toka chanzo changu kinanihabarisha kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman A. Mbowe amevamiwa na kikundi cha watu wasiojulikana akielekea nyumbani kwake usiku huu na kupigwa na wamemuumiza.
Tukio hili limetokea majira ya saa 6-7 usiku.
Mhe. Mbowe amekimbizwa Hospitali ya Ntyuka iliyopo jijini Dodoma.
Kamanda Muroto amesema wamepata taarifa kuwa kavunjwa mguu wa kulia na amelazwa Wodi namba 4 hospitalini hapo. Amesema taarifa zaidi zitafuata
MAONI YANGU:
Mh. Mbowe kuvamiwa na kupigwa eneo la Area D, jijini Dodoma, Mtaa wa Sengia; linalotajwa kuwa na ulinzi wa kutosha, kama ilivyotokea kwa Lissu kunaacha maswali mengi, je, hili linaweza kuwa limechochewa na Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa JMT October 2020? Ni hasira au kitu gani? No one knows.
Bado najiuliza; hivi kama Taifa kwa tabia hizi za kihuni tunaelekea wapi? Hawa wanaojichukulia sheria mikononi kila siku wanafanya hivyo kwa kutumwa na nani? Matendo haya yataendelea kwa viongozi wa upinzani mpaka lini?
We need to wake up, better late than never.
Hata Mimi huwa nashangaa,huu unyonge unatoka wapi? Kinachotakiwa ni kauli tuu.Hivi nyie CDM ni chama kikuuu Cha upinzani kweli?mnaonewa mmebaki kulalamika Kama wanawake tu wkt mna mtaji wa watu 6m?kwa ujinga huu mtanyanyaswa sana tena sana...mguse MALEMA pale kwa MADIBA uone Moto wake...mguse Raila hapa Kenya....shame on u
Pole sna Familia ya Mh Mbowe lkn unajua una pinga nn na ww unafanya nn kwenye maisha yko Dada yngu tatizo sio Magufuli Tatizo sio CCM Tatizo ni Rangi zetu watu weusi wote Akili zetu mwisho ukarani tu uongozi tumuachie Trump na Boris Johnson...Kama Dr Mollel alisema Lissu alipigwa risasi na Mbowe huko CCM uwongo na majungu ni hulka yenu.