Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

jingalao,

Kutakua na kitu unakijua kuhusu hilo shambulio ila umekuja kuvuruga ukweli kwa kukimbilia kuanzisha hii Thread Potoshi
 
Baada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
 
Hivi nyie CDM ni chama kikuuu Cha upinzani kweli?mnaonewa mmebaki kulalamika Kama wanawake tu wkt mna mtaji wa watu 6m?kwa ujinga huu mtanyanyaswa sana tena sana...mguse MALEMA pale kwa MADIBA uone Moto wake...mguse Raila hapa Kenya....shame on u
Huyo Raila naye si amesha legezwa na Uhuru anapekekeshwa tu kama kishada, Raila kwisha habari yake
 
Saa 7 za usiku kiongozi mkubwa anaranda mitaani anatokea wapi?
Mbowe ana mlinzi,gari na dereva wa serikali,walikua wapi?
Kikosi cha ulinzi cha chadema kilikua wapi?
Kwa ninavyomjua mbowe,lazima alikuwa katoka kucheza nje cup!
Kuna maswali ya kujiuliza ndani wanachadema,kabla kunyooshea vidole serikali
Saa 7 usiku kiongozi unatakiwa uwe umelala au upo nyumbani,alikua anatoka wapi?
Red brigade walikua wapi?
 
Baada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
 
Mbowe bado anatembea bila walinzi?
Hana silaha yoyote ya kujihami?
Viongozi wa upinzani jiongezeni.

Pole Mwamba na stay imara.
Mabadiliko yatakuja
 
Baada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
Huyo dokta wako wa kutibu kuku sisi tunamuona mkoma tu tumeshampuuza ni wajinga tu wanaoweza kuamini ujinga wake.
 
View attachment 1472626
View attachment 1472650

Salaam,

Taarifa nilizozipata hivi punde toka chanzo changu kinanihabarisha kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman A. Mbowe amevamiwa na kikundi cha watu wasiojulikana akielekea nyumbani kwake usiku huu na kupigwa na wamemuumiza.

Tukio hili limetokea majira ya saa 6-7 usiku.

Mhe. Mbowe amekimbizwa Hospitali ya Ntyuka iliyopo jijini Dodoma.

Kamanda Muroto amesema wamepata taarifa kuwa kavunjwa mguu wa kulia na amelazwa Wodi namba 4 hospitalini hapo. Amesema taarifa zaidi zitafuata

MAONI YANGU:
Mh. Mbowe kuvamiwa na kupigwa eneo la Area D, jijini Dodoma, Mtaa wa Sengia; linalotajwa kuwa na ulinzi wa kutosha, kama ilivyotokea kwa Lissu kunaacha maswali mengi, je, hili linaweza kuwa limechochewa na Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa JMT October 2020? Ni hasira au kitu gani? No one knows.

Bado najiuliza; hivi kama Taifa kwa tabia hizi za kihuni tunaelekea wapi? Hawa wanaojichukulia sheria mikononi kila siku wanafanya hivyo kwa kutumwa na nani? Matendo haya yataendelea kwa viongozi wa upinzani mpaka lini?

We need to wake up, better late than never.
Intelijensia ya jamaa zetu ita kuambia kajivamia mwenyewe.. Tuombe Mungu huyu jamaa na kundi lake la wahuni wamalize muda wao wa uongozi. This is too much now
 
Hivi nyie CDM ni chama kikuuu Cha upinzani kweli?mnaonewa mmebaki kulalamika Kama wanawake tu wkt mna mtaji wa watu 6m?kwa ujinga huu mtanyanyaswa sana tena sana...mguse MALEMA pale kwa MADIBA uone Moto wake...mguse Raila hapa Kenya....shame on u
Hata Mimi huwa nashangaa,huu unyonge unatoka wapi? Kinachotakiwa ni kauli tuu.
 
miguu ya mbowe mibovu siku nyingi kuna wakati huwa anatembelea magongo ikipona inatulia kidogo inaanza tena isiwe imeanza tena akitembelea magongo isemwe imevunjwa msema kweli mpenzi wa Mungu abishe kama hakuna wakati huwa anatembelea magongo
 
Ingekua CCM ndio kapata matatizo, dah yaani wangewaona Chadema hawana mtu but haya maneno yao ya kishenzi hapa jukwaani wanadhani tunayafurahi.... Time will tell
 
Kama Dr Mollel alisema Lissu alipigwa risasi na Mbowe huko CCM uwongo na majungu ni hulka yenu.
Pole sna Familia ya Mh Mbowe lkn unajua una pinga nn na ww unafanya nn kwenye maisha yko Dada yngu tatizo sio Magufuli Tatizo sio CCM Tatizo ni Rangi zetu watu weusi wote Akili zetu mwisho ukarani tu uongozi tumuachie Trump na Boris Johnson...
 
Back
Top Bottom