Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Spika Ndugai amekosea kujifanya mjuaji na kuropoka jambo asilolijua. Hata kama anamchukia Mbowe kwa sababu anazozijua yeye, siyo haki kusema jambo asilo na uhakika nalo. Anasema ni kuwa mguu wake umekuwa DISLOCATED na kwamba hajaumia kwingine, Akisapotiwa na wabunge waliouzika kwa vipande 30 ameonyesha udhaifu mkubwa.

Hivi Ndugai huoni aibu kuongelea ugonjwa wa mtu bungeni tena kwa kejeli? Mbona ugonjwa wako wewe Ndugai hauongelewi au haukuongelewa bungeni pamoja na ubadhirifu mkubwa wa Mabilioni ya shilingi kutibu ugonjwa wako usiojulikana?

It is shame on you Ndugai...Eti unasema kona kona nyingi? Hivi kwani ni kosa kurudi nyumbani kwako saa sita za usiku? Mbowe amevunja sheria gani kurudi kwake usiku? Mbona wewe Ndugai na wabunge walionunuliwa mnasambaza uongo kuwa Mbowe hakupigwa wakati yeye mwenyewe na aliyekuwa naye wanasema alipigwa na maneno ya KISIASA yalisemwa? Ndugai wewe na wajinga wenzako ONENI HAYA! Mbona mnatumia nguvu nyingi kupinga kuhusu haya masahibu aliyopata mbunge Mbowe? Kuna nini mnaendelea kuficha?

Ndugai umeonyesha udhaifu mkubwa, hutumi akili hata kidogo....HAUNA TOFAUTI NA VIBAKA WA MITAANI, uone aibu, Inaonekana uwepo wa makanisa Tanzania hausaidii hata kidogo, wametokeza watu wa serikalini kama Ndugai na Magufuli wasiojali maisha ya wananchi...Kwao kuua na kuteka ni jambo la kawaida sana.

Hili la Lissu na Mbowe ni aibu kwa serikali.
Sikiliza kauli yake ya jana juu ya uchungaji wa Peter Msigwa utagundua kitu.
 
Mwacheni ndo muda pekee aliobakinao kujiweka sawa mbele ya Mheshimiw Rais vinginevyo Bungeni harudi
 
Hakuna mtu wa ovyo kama Ndugai....Yupo level moja na Musiba mropokaji. Jitu zima ovyo.
Watu wa hovyo wakati mwingine ndio wanasema ukweli na kuepusha matatizo huko mbeleni. Wengine huwaita vichaa na wote wamewekwa hapa duniani, hawajawekwa tu ili wawe pale bali kuna kazi wanayofanya na Mwenyezi Mungu ndio anayeweza yote hayo.
 
Inaonekana Joyce Mkuya ni mtamu sana kuliko mke wa ndoa Lilian Mbowe, maana kila janga lazima ahusishwe
 
Inaonekana Joyce Mkuya ni mtamu sana kuliko mke wa ndoa Lilian Mbowe, maana kila janga lazima ahusishwe
2425918_mukya.jpg

"...Wanaume tumeumbwa, mateso, mateso, kuhangaika!......"
 
Huu Uzi unamdhalilishaga na kumtia aibu kubwa mh Mbowe!!!

Kwamba Ameonekana no yeye tu mnywa Pombe Tanzaniaa nzima!!

Msifukuage nyuzi za kuboa watu bhana
 
Gaidi aliangushwa na konyagi akipandisha ngazi kwa Joyce Mukuya.
 
Back
Top Bottom