pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 692
- 880
Balozi wa utalii nchini Tanzania Nangasu werema, amesifia.
Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii 2022/2023 ilisomwa na Waziri mwenye dhamana Balozi Dkt Pindi Hazara Chana Leo Bungeni Dodoma,ambapo amesema Serikali ya Awamu ya Sita imeleta bajeti bora zaidi inayojibu na kutatua matatizo yaliyokuwa yanaikumba Sekta ya Utalii.
Amesema Royal Tour na Bajeti iliyosomwa, inaenda kifungua Nchi. Hivyo Nchi ijiandae kupokea watalii wengi kwani sasa Dunia nzima inajua Vivutio vilivyopo Tanzania.
Waziri Balozi Dkt Chana aliliomba Bunge liidhinishe jumla ya Shilingi 624,142,732,000 (Bilioni mia sita ishirini na nne, milioni mia moja arobaini na mbili, mia saba thelathini na mbili elfu) kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya Sekta ya Maliasili na Utalii kwa mwaka ujao wa fedha.
Balozi wa utalii nchini Tanzania Nangasu werema akufuatilia kwa makini Usomaji ya Bajeti ya Utalii