Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,075
- 6,774
Kumbe gari inaweza toka na rangi mbili?
Naona mzigo uko Block P huo, pande za education. Mkuu chuo kimefungwa jana mara hii unahitaji kulipa ada vipi haurudi mtaani??
[emoji3]Wazazi walikupa ADa ukanunua gar bovu kuvimbia chuoni. sasa umefika wakati wa mitihani ndyo umeanza kuhangaika na adda?