Dodoma pamoja na kuwa mji mkuu, ni mojawapo wa eneo maskini sana Tanzania

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Huwa sijawahi kuelewa wenzetu wa kusini hukwama wapi, yaani eneo wanaloita mji mkuu ndio mojawapo wa maeneo yenye umaskini wa kutupwa. Yaani ni kama itokee Nairobi iwe mji unao ongoza kwa umaskini Kenya na ushindwe hadi na miji kama Eldoret na Kitale.
Nimekutana na uzi unaojadili umaskini Tanzania, yaani inashangaza pia Geita ambapo kuna madini mengi sana, lakini nao ni maskini kupita maelezo.

screenshot_20190629-183621-2-png.1142323
 
Wanaongelea mkoa mzima sio mji Tu.

Mkoa wa Dodoma Una wilaya za bahi,chamwino,mpwapwa,kondoa,chemba nk nk
 
Kwani ulisikia Dodoma ni mji mkuu wa utajiri au ni mji mkuu wa shughuli za kiserikali?
 
Mji Mkuu bado ni Dar pamoja na kwamba bado ina mapungufu yake lakini huwezi kulinganisha na mji wa wagogo na ndiyo sababu diplomats wamegoma kuhamia Dodoma hata wale wezi wa Kichina. Dodoma ni makao makuu ya wahuni, majizi na mafisadi wa ccm.
 
Kweli kusoma na kutafsiri ni mambo mawili tofauti.

Sasa hapo mbona Dodoma ina njema sana ukilinganisha na mikoa mwingine?

HALAFU umasikini wa chakula Tanzania hakuna kabisa, Ingekuwa Kenya wangehitaji karatasi za A5 ili kuchapisha data sababu huko umasikini wa chakula mpaka ikulu inaingiamo
 
Kiwango na kina cha umaskini Dodoma kinaizidi Morogoro.
Japo naskia kinacho waponza hao Wagogo ni kule kun'gan'gania CCM
 
Hahahahahaaa
Kwani Tanzania hii ni wapi hao upinzani wanaweza kusema ni ngome yao? Tanzania hii yote ni CCM, tena huko Dodoma kulikuwa na madiwani wa upinzani wakati ipo mikoa Tanzania hii mpinzani hakuwahi kushinda hata kata.
 
Ukweli ni kwamba maisha ya hilo jiji ni magumu kama huna kazi ya kuelekea. Asilimia kubwa ya wakazi wa hilo jiji wanaishi kwa mlo moja tena ambao hauelewiki ndio,maana wanawake wengi wameamua kuwa wadangaji. Kwa upande wa wanaume nao wameamua kuwa massage.
True.
 
Kweli kusoma na kutafsiri ni mambo mawili tofauti.

Sasa hapo mbona Dodoma ina njema sana ukilinganisha na mikoa mwingine?

HALAFU umasikini wa chakula Tanzania hakuna kabisa, Ingekuwa Kenya wangehitaji karatasi za A5 ili kuchapisha data sababu huko umasikini wa chakula mpaka ikulu inaingiamo
Kemu nifafanulie maana ya umaskini...haki ya nani
 
Kiwango na kina cha umaskini Dodoma kinaizidi Morogoro.
Japo naskia kinacho waponza hao Wagogo ni kule kun'gan'gania CCM
Kemu nifafanulie maana ya umaskini...haki ya nani
Hivi unaelewa ukame ndiyo sababu kubwa inayopunguza maendeleo Dodoma? Vipi kuhusu Turkana ambako kuna ukame kama Dodoma, unaweza fananisha kimaendeleo?
 
Ahhh! Wapi Tanzania asilimia kubwa kijani na rotuba, uzembe tu...
Nyie mngepewa Kenya mngekufa wengi sana maana huku zaidi ya asilimia 60% ni kame tupu, hivyo lazima ujitume.
 
Ni kweli kwa Tanzania kiujumla ina ardhi nzuri, ila Dodoma na kiasi Singida zina ukame sana kiasi serikali miaka ya 70 ilianzisha kampeni ya HADO (hifadhi ardhi Dodoma) kupiga marufuku ufugaji wa ngo'mbe ili kupunguza ukame. Kwa jamii inailiyotegemea ufugaji kama njia kuu ya uchumi, kuikataza kufuga unategemea nini?
 
Dodoma ni didimia ni kama maneno sawia ...kwahivyo hakuna wakati mji huo utakuja kupata economic vitality.
 
Back
Top Bottom