MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Huwa sijawahi kuelewa wenzetu wa kusini hukwama wapi, yaani eneo wanaloita mji mkuu ndio mojawapo wa maeneo yenye umaskini wa kutupwa. Yaani ni kama itokee Nairobi iwe mji unao ongoza kwa umaskini Kenya na ushindwe hadi na miji kama Eldoret na Kitale.
Nimekutana na uzi unaojadili umaskini Tanzania, yaani inashangaza pia Geita ambapo kuna madini mengi sana, lakini nao ni maskini kupita maelezo.
www.jamiiforums.com
Nimekutana na uzi unaojadili umaskini Tanzania, yaani inashangaza pia Geita ambapo kuna madini mengi sana, lakini nao ni maskini kupita maelezo.
Hali halisi ya Umasikini Kimkoa Tanzania 2018
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Imetoa taarifa kama inavyoonekana Na chini ni TAKWIMU RASMI ZA HALI YA UCHUMI TANZANIA BARA 2012-2018 KWA UJUMLA: Kwa mujibu wa takwimu mpya za mwaka wa kizio wa 2015, Pato halisi la Taifa lilikua kwa asilimia 7.0 mwaka 2018 ikilinganishwa na ukuaji wa...