Ndiyo vizuri itaruhusu mshanganyiko wa makabila hiyo ni fursa kama wazaramo wa dar wameuza viwanja bei chee sasa dar ni mseto wa makabila mbalimbali .tena inasaidia mipango miji kuwa rahisi kufidia masikini ni rahisi kuliko tajiriKiwango na kina cha umaskini Dodoma kinaizidi Morogoro.
Japo naskia kinacho waponza hao Wagogo ni kule kun'gan'gania CCM
Jamaa kumbe mkeo umemtoa NYERI Kenya na kazi yako ni kuponda wakenya humu.Ndiyo vizuri itaruhusu mshanganyiko wa makabila hiyo ni fursa kama wazaramo wa dar wameuza viwanja bei chee sasa dar ni mseto wa makabila mbalimbali .tena inasaidia mipango miji kuwa rahisi kufidia masikini ni rahisi kuliko tajiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Linganisha na mji wa Washington DC wa shughuli za Serikali ama na Mombasa, Nakuru, Eldoret, Thika, Kisumu, na Machakos hapa Kenya...Dodoma ni ovyo Sana.Kwani ulisikia Dodoma ni mji mkuu wa utajiri au ni mji mkuu wa shughuli za kiserikali?
Ahhh! Wapi Tanzania asilimia kubwa kijani na rotuba, uzembe tu...
Nyie mngepewa Kenya mngekufa wengi sana maana huku zaidi ya asilimia 60% ni kame tupu, hivyo lazima ujitume.
Kiwango na kina cha umaskini Dodoma kinaizidi Morogoro.
Japo naskia kinacho waponza hao Wagogo ni kule kun'gan'gania CCM
Hahahahahaaa
Kwani Tanzania hii ni wapi hao upinzani wanaweza kusema ni ngome yao? Tanzania hii yote ni CCM, tena huko Dodoma kulikuwa na madiwani wa upinzani wakati ipo mikoa Tanzania hii mpinzani hakuwahi kushinda hata kata.
Unatumia macho yako sio lazima upangiwe. Vipi wewe? Kama wewe ni Kati ya 'great thinkers" hapa JF pande ya Watanzania, nawahurumia wa vijiweni ambao ndio wengi.Kwanza hizo takwimu hazijapangwa huwezi jua wa kwanza na wamwisho nani? Dodoma inazidi mikoa mingi kwa utajiri. Wewe tarifa nzima hiyo umechagua dodoma tuu kwa umbea wako.
Huwa sijawahi kuelewa wenzetu wa kusini hukwama wapi, yaani eneo wanaloita mji mkuu ndio mojawapo wa maeneo yenye umaskini wa kutupwa. Yaani ni kama itokee Nairobi iwe mji unao ongoza kwa umaskini Kenya na ushindwe hadi na miji kama Eldoret na Kitale.
Nimekutana na uzi unaojadili umaskini Tanzania, yaani inashangaza pia Geita ambapo kuna madini mengi sana, lakini nao ni maskini kupita maelezo.
Hali halisi ya Umasikini Kimkoa Tanzania 2018
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Imetoa taarifa kama inavyoonekana Na chini ni TAKWIMU RASMI ZA HALI YA UCHUMI TANZANIA BARA 2012-2018 KWA UJUMLA: Kwa mujibu wa takwimu mpya za mwaka wa kizio wa 2015, Pato halisi la Taifa lilikua kwa asilimia 7.0 mwaka 2018 ikilinganishwa na ukuaji wa...www.jamiiforums.com
Hivi DODOMA ni mji mkuu au makao makuu?