Dodoma pamoja na kuwa mji mkuu, ni mojawapo wa eneo maskini sana Tanzania

Dodoma pamoja na kuwa mji mkuu, ni mojawapo wa eneo maskini sana Tanzania

Kiwango na kina cha umaskini Dodoma kinaizidi Morogoro.
Japo naskia kinacho waponza hao Wagogo ni kule kun'gan'gania CCM
Ndiyo vizuri itaruhusu mshanganyiko wa makabila hiyo ni fursa kama wazaramo wa dar wameuza viwanja bei chee sasa dar ni mseto wa makabila mbalimbali .tena inasaidia mipango miji kuwa rahisi kufidia masikini ni rahisi kuliko tajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa kumbe mkeo umemtoa NYERI Kenya na kazi yako ni kuponda wakenya humu.
 
Kwani ulisikia Dodoma ni mji mkuu wa utajiri au ni mji mkuu wa shughuli za kiserikali?
Linganisha na mji wa Washington DC wa shughuli za Serikali ama na Mombasa, Nakuru, Eldoret, Thika, Kisumu, na Machakos hapa Kenya...Dodoma ni ovyo Sana.
 
Kwanza hizo takwimu hazijapangwa huwezi jua wa kwanza na wamwisho nani? Dodoma inazidi mikoa mingi kwa utajiri. Wewe tarifa nzima hiyo umechagua dodoma tuu kwa umbea wako.
 
Ahhh! Wapi Tanzania asilimia kubwa kijani na rotuba, uzembe tu...
Nyie mngepewa Kenya mngekufa wengi sana maana huku zaidi ya asilimia 60% ni kame tupu, hivyo lazima ujitume.

Badala ya rotuba andika rutuba.
 
Mara nyingi miji mikuu ya kibiashara inakuwa juu kuliko miji mikuu ya kiserikali. Eg. Dee Cee na NYC.
 
Hahahahahaaa
Kwani Tanzania hii ni wapi hao upinzani wanaweza kusema ni ngome yao? Tanzania hii yote ni CCM, tena huko Dodoma kulikuwa na madiwani wa upinzani wakati ipo mikoa Tanzania hii mpinzani hakuwahi kushinda hata kata.

Angalia Mkoa wa Kilimanjaro, Dar hauko mbali na huu Mkoa hawa jamaa wachaga ni noma wako vizuri sana. Wahehe na wakinga Njombe ni hatari na hizo ndio ngome za wapinzani
 
Kwanza hizo takwimu hazijapangwa huwezi jua wa kwanza na wamwisho nani? Dodoma inazidi mikoa mingi kwa utajiri. Wewe tarifa nzima hiyo umechagua dodoma tuu kwa umbea wako.
Unatumia macho yako sio lazima upangiwe. Vipi wewe? Kama wewe ni Kati ya 'great thinkers" hapa JF pande ya Watanzania, nawahurumia wa vijiweni ambao ndio wengi.
 
Ukiangalia Takwimu hizo mikoa isiyo na mpinzani kabisa ndio inaongoza kwa Umasikini
 
Huwa sijawahi kuelewa wenzetu wa kusini hukwama wapi, yaani eneo wanaloita mji mkuu ndio mojawapo wa maeneo yenye umaskini wa kutupwa. Yaani ni kama itokee Nairobi iwe mji unao ongoza kwa umaskini Kenya na ushindwe hadi na miji kama Eldoret na Kitale.
Nimekutana na uzi unaojadili umaskini Tanzania, yaani inashangaza pia Geita ambapo kuna madini mengi sana, lakini nao ni maskini kupita maelezo.

screenshot_20190629-183621-2-png.1142323

Hivi DODOMA ni mji mkuu au makao makuu?
 
Back
Top Bottom