Dodoma: Photos of Benjamin Mkapa Hospital, East Africa's milestone in medical field

Very interesting

First of all, with all due respect, I would like to submit that it's your opinion and perspective in relation to the above comment. I really respect it, however, in real sense, you'are inept and inexperienced when it comes to health issues. You'are like a garbage.

Second of all, the plain truth must be told. Perhaps it gonna change your stupid mindset. Wataalamu wenu wa afya wamefanya kitu gani kipya kwa maslahi ya wananchi? au wataalamu wenu ndiyo wale wa kudanganya patients kwamba anaumwa cancer kumbe amewekewa sumu. Wise up brother.
 
Kwani ukimjibu hoja yake utapungukiwa nn? Hoja haipigwi rungu
Huyu anaona kutukana ndiyo suluhisho mkuu wakati nimeuliza tu maswali mazuri. Majengo mazuri siyo ndiyo kuwa na suluhisho la kudumu la afya bali watwmbie ni inputs gani wamezileta katika taifa au E.Afric, etc.
 
Umedhihirisha ujinga wako kusema hakuna mtaalamu hata mmoja aliyegundua chanjo/tiba ya Covid-19 hapo Benjamin Mkapa Hospital,[emoji3][emoji3]
ni wazi you are ignorant kiasi cha kufikiri kudevelop vaccine au drug ni kama kugundua Bar mpya, fool.
Halafu kusema Hospitali ya Benjamin Mkapa ni majengo pekee ni Wazi una mlengo fulani wa Kisiasa ndani yako, Pamoja na all the medical equipments in the facility wewe unaona majengo pekee, Wenye waledi wa mambo waliona gaps kwenye Human Resource, sorry I disregarded your senseless argument as I don't engage negative people like you.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…