Miaka yote watu tunajiachia, iweje Sasa ndiyo iwe tatizo?Uhuru na haki uwe na mipaka.
huwenda watu walikua wanajiachia kwa kuvunja sheria na taratibu.sasa wenye mamlaka wanaanza kuweka nidhamu ya kujiachia.Miaka yote watu tunajiachia, iweje Sasa ndiyo iwe tatizo?
Kwahiyo yale matarumbeta mnayopiga ktk harusi mkitoka kanisani na wakati wa kwenda na vile vigoma vya urugway kule buguruni ni nini?Kwa nini mpige ving'ora hovyo hovyo ?Mnaleta noise pollution. Kwa hili nampa bigup kamanda wa polisi.
Tatizo ni kwamba zoezi Linafanyika mji mmoja tu, sio countrywide.Kwa nini mpige ving'ora hovyo hovyo ?Mnaleta noise pollution. Kwa hili nampa bigup kamanda wa polisi.
Wenye vyombo vya usafiri ndio tabia yao sisi wenye magari hatuna huo ujingaHv kweli king'ora unaweka kwenye gari yako binafsi cha nini hasa.....
huo ushamba.....
alafu gari za ajabu ajabu ndio wanaweka hizo mambo.....
huwezi kuta Range ama Ford ranger and the like wameweka hizo mambo michezo ya kina probox na akina swift hiyo
Wenye vyombo vya usafiri ndio tabia yao sisi wenye magari hatuna huo ujinga
Wazee wa 160km/hr hao kwenye vibao vya 50km/hr hao hawakamatwi mkuuTena ungejua magari yaliyolengwa ni ya serikali
VX V8 na Nissan nyingi sio za SM/STK/SU ndo nyingi madereva wake wamefunga vile vimulimuli pale mbele kwenye grill kututishia wakianza mambio yao
Wala sio vigari vidogo kama mnavyosema
Wazee wa 160km/hr hao kwenye vibao vya 50km/hr hao hawakamatwi mkuu