Dodoma: Profesa Mkumbo ajivua sera ya viwanda 100 kila mkoa

Dodoma: Profesa Mkumbo ajivua sera ya viwanda 100 kila mkoa

Hata hivyo amesema kazi kubwa ni kusimamia ujenzi wa viwanda kila mtaa na kuanzisha ukanda maalumu wa viwanda.

giphy.gif
 
Kwa hiyo ya viwanda 100 kila mkoa cha mtoto, sasa ni kiwanda kila mtaa.
Mkuu umeshaambiwa kiwanda kinaajiri mtu mmoja hata kwa mama halima muuza mihogo pia ni kiwanda maana pale kuna michakato mbalimbali inafanyika kabla bidhaa haijamfikia mteja;

Kama kumenya mihogo,kukata kachumbali na kuiongezea mchuzi,kuandaa pilipili n.k.Babu hivyo viwanda kila mtaa vinawezekana sana tu achana na vya yule mwijage vitatuchelewesha au nasema uongo ndugu zangu!?
 
Mkuu umeshaambiwa kiwanda kinaajiri mtu mmoja hata kwa mama halima muuza mihogo pia ni kiwanda maana pale kuna michakato mbalimbali inafanyika kabla bidhaa haijamfikia mteja;kama kumenya mihogo,kukata kachumbali na kuiongezea mchuzi,kuandaa pilipili n.k.Babu hivyo viwanda kila mtaa vinawezekana sana tu achana na vya yule mwijage vitatuchelewesha au nasema uongo ndugu zangu!?
Ni "kweriiii...kweri kabisaaa...yeeeeebaaa"!
 
vyerehani vinne ni Kiwanda, kwa hiyo vyerehana 400 kila mkoa vimemshinda?
 
Back
Top Bottom