Dodoma: Rais Magufuli anazindua ujenzi wa barabara ya Mtumba, Makao Makuu ya TARURA na Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto

Kasema hataki kuongezewa muda atafuata katiba ya nchi ili awachie wenzake, sasa sijui wale vigaguro wanaongea nin kama mashosho.
 
Kuwapa Maofisa Tarafa pikipiki ni jambo zuri sana lakini kwa siku za mbele ni vyema hawa Maofisa nao wapatie usafiri wa magari japo ya bei nafuu na yenye uwezo wa kumuda mazingira ya vijijini.
Vijijini vijiji vingi Tanzania Kuna barabara? Hayo magari ya kuhimili vijijini ya Bei nafuu Ni yepi hayo?
 
Naomba ushuri na maoni kwangu nashangaa siku ya bajeti naona matangazo ya rais akifanya uzinduzi wa barabara na majengo lakini katika mkoa huo huo kuna usomwaji wa bajeti ya taifa. Haipewi kipaunbele kabisa.

Ivi kati ya ivyo viwili kipi kina maslai kwa raifa?
 
saa bajeti yenyewe hakamiliki ,kulipa mishahara kwa kukopa kopa, ata ukisikiliza utakuwa kama upo darasa la hesabu, kazi kuandika na kusikiliza namba zisizo kuwepo
 
Hapo ndio ujue kuna bajeti ya kibwege sana
 
Bajeti inasomwa saa kumi na itakuwa live.

Huo uzinduzi ni saa ngapi na unarushwa saa ngapi?
 
Ni utaratibu maaskari kusamehewa, Pia wale wa tuhuma ya madini Mwanza walisamehewa.
 
Hotuba nzuri,,kumbe wamehamia kiukweli ukweli,nilijua utani.
 
Kuwapa Maofisa Tarafa pikipiki ni jambo zuri sana lakini kwa siku za mbele ni vyema hawa Maofisa nao wapatie usafiri wa magari japo ya bei nafuu na yenye uwezo wa kumuda mazingira ya vijijini.
Pikipiki inapita chocho zote,,mbadala wake labda wapewe V8
 
Ujenzi bila archtectural drawings sio ujenzi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…