Dodoma: Rais Magufuli anazindua ujenzi wa barabara ya Mtumba, Makao Makuu ya TARURA na Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto

Dodoma: Rais Magufuli anazindua ujenzi wa barabara ya Mtumba, Makao Makuu ya TARURA na Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto

Magufuli anapingwa sana na vijana wa bwana konyagi "hahahaha mambo mazuri yote hayaonekani
 
Kazi nzuri anafanya tatizo ni mbabe sana kuna vitu vinatatuliwa kwa akili ila yeye ni full nguvu tu
 
Pikipiki inapita chocho zote,,mbadala wake labda wapewe V8
Hivi zile TOYOTA HILUX haziwezi kuwafaha kweli hawa ndugu zetu. alaf ivi zinasimama bei gani kwa anaefahmu wadau
 
Back
Top Bottom