mbudunge JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 1,735 Reaction score 1,089 Jun 11, 2020 #41 Magufuli anapingwa sana na vijana wa bwana konyagi "hahahaha mambo mazuri yote hayaonekani
Kijukuu cha ngoyayi JF-Expert Member Joined Oct 27, 2018 Posts 1,384 Reaction score 2,880 Jun 11, 2020 #42 Kazi nzuri anafanya tatizo ni mbabe sana kuna vitu vinatatuliwa kwa akili ila yeye ni full nguvu tu
Majan JF-Expert Member Joined Jul 2, 2015 Posts 1,271 Reaction score 1,828 Jun 11, 2020 #43 Elungata said: Pikipiki inapita chocho zote,,mbadala wake labda wapewe V8 Click to expand... Hivi zile TOYOTA HILUX haziwezi kuwafaha kweli hawa ndugu zetu. alaf ivi zinasimama bei gani kwa anaefahmu wadau
Elungata said: Pikipiki inapita chocho zote,,mbadala wake labda wapewe V8 Click to expand... Hivi zile TOYOTA HILUX haziwezi kuwafaha kweli hawa ndugu zetu. alaf ivi zinasimama bei gani kwa anaefahmu wadau