Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Tunasubiri igizo la kupanga foleni wakati kwenye misafara tunakaa masaa matatu kumpisha

Kutoka Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma Leo Novemba 27, 2024 katika kituo cha kupiga kura za uchaguzi za Serikali za Mitaa baadhi ya wakazi wa eneo Hilo wameshaanza zoezi la kupiga kura la kuwachagua viongozi wao.
Soma Pia: Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Katika kituo hiki ndipo Rais Samia atapiga kura yake ya kumchagua kiongozi wake wa Serikali za Mitaa