Pre GE2025 DODOMA: Rais Samia kuongoza Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
2,823
Reaction score
2,466
IMG-20250309-WA0133(1).jpg

Katika taarifa yake kwa Umma Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CPA Amos Makalla ameliambia Taifa kuwa CCM itafanya Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Jijiji Dodoma na Vikao vyote hivi vitaongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan.

===
 
View attachment 3264287

Mzee wa Gombe atakuwepo na Propaganda zake.....atawasilisha ujinga wake miezi 2 tangu awekwe pale afie kwenye kiti ....badala kucheza wajukuu....
Hii karne hataiweza kamwe.....
 
Agenda ya No Election No Reforms naamini utakuwepo, Hawa CHADEMA wapeni wanachotaka hawawezi kushinda Uchaguzi hawa hawana maandalizi
 
View attachment 3264287

Katika taarifa yake kwa Umma Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CPA Amos Makalla ameliambia Taifa kuwa CCM itafanya Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Jijiji Dodoma na Vikao vyote hivi vitaongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan.

===
Barua imeeleza vizuri kwamba anayeongoza kikao ni mwenyekiti wa CCM, ila wewe kwenye heading yako umeandika kwamba anayeongoza kikao ni Rais.

1741504822424.png
 
Ndio shida ya KiKatiba hiyo
Hapana, hii purely ni shida ya mtoa mada ndugu Jabali la Siasa, na si katiba ..!!! Rais hawezi kuwa mwendeshaji wa vikao vya chama..!! Hata kama mtu mmoja anakofia zote mbili, ataivaa kofia husika kwenye kikao husika..!!!

By the way, kama ni shida ya katiba, katiba ipi? Ya chama au ya nchi?
 
View attachment 3264287

Katika taarifa yake kwa Umma Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CPA Amos Makalla ameliambia Taifa kuwa CCM itafanya Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Jijiji Dodoma na Vikao vyote hivi vitaongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan.

===
Kila lenye heri Cde Samia
 
Mzee wa Gombe atakuwepo na Propaganda zake.....atawasilisha ujinga wake miezi 2 tangu awekwe pale afie kwenye kiti ....badala kucheza wajukuu....
Hii karne hataiweza kamwe.....
Hivi hicho hakitakuwa uteuzi wawatakao pita bila kupingwakweli? Au jinsi ya kuzuia watoto wakambo wasirudishe fomu hapo baadaye?
 
Mzee wa Gombe atakuwepo na Propaganda zake.....atawasilisha ujinga wake miezi 2 tangu awekwe pale afie kwenye kiti ....badala kucheza wajukuu....
Hii karne hataiweza kamwe.....
Gombe si National park....? 😳😣
 
Back
Top Bottom