Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Mzee wa Gombe atakuwepo na Propaganda zake.....atawasilisha ujinga wake miezi 2 tangu awekwe pale afie kwenye kiti ....badala kucheza wajukuu....View attachment 3264287
Katika taarifa yake kwa Umma Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CPA Amos Makalla ameliambia Taifa kuwa CCM itafanya Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Jijiji Dodoma na Vikao vyote hivi vitaongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan.
===
Wasisahau kumvalisha diaper tu.Mzee wa Gombe atakuwepo na Propaganda zake.....atawasilisha ujinga wake miezi 2 tangu awekwe pale afie kwenye kiti ....badala kucheza wajukuu....
Hii karne hataiweza kamwe.....
Barua imeeleza vizuri kwamba anayeongoza kikao ni mwenyekiti wa CCM, ila wewe kwenye heading yako umeandika kwamba anayeongoza kikao ni Rais.View attachment 3264287
Katika taarifa yake kwa Umma Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CPA Amos Makalla ameliambia Taifa kuwa CCM itafanya Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Jijiji Dodoma na Vikao vyote hivi vitaongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan.
===
Ndio shida ya KiKatiba hiyoBarua imeeleza vizuri kwamba anayeongoza kikao ni mwenyekiti wa CCM, ila wewe kwenye heading yako umeandika kwamba anayeongoza kikao ni Rais.
View attachment 3264293
Hapana, hii purely ni shida ya mtoa mada ndugu Jabali la Siasa, na si katiba ..!!! Rais hawezi kuwa mwendeshaji wa vikao vya chama..!! Hata kama mtu mmoja anakofia zote mbili, ataivaa kofia husika kwenye kikao husika..!!!Ndio shida ya KiKatiba hiyo
Kila lenye heri Cde SamiaView attachment 3264287
Katika taarifa yake kwa Umma Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CPA Amos Makalla ameliambia Taifa kuwa CCM itafanya Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Jijiji Dodoma na Vikao vyote hivi vitaongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan.
===
Hivi hicho hakitakuwa uteuzi wawatakao pita bila kupingwakweli? Au jinsi ya kuzuia watoto wakambo wasirudishe fomu hapo baadaye?Mzee wa Gombe atakuwepo na Propaganda zake.....atawasilisha ujinga wake miezi 2 tangu awekwe pale afie kwenye kiti ....badala kucheza wajukuu....
Hii karne hataiweza kamwe.....
Gombe si National park....? 😳😣Mzee wa Gombe atakuwepo na Propaganda zake.....atawasilisha ujinga wake miezi 2 tangu awekwe pale afie kwenye kiti ....badala kucheza wajukuu....
Hii karne hataiweza kamwe.....
Samia Mitano tenaView attachment 3264287
Katika taarifa yake kwa Umma Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CPA Amos Makalla ameliambia Taifa kuwa CCM itafanya Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Jijiji Dodoma na Vikao vyote hivi vitaongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan.
===
Pumzi imeshamkata.Mzee wa Gombe atakuwepo na Propaganda zake.....atawasilisha ujinga wake miezi 2 tangu awekwe pale afie kwenye kiti ....badala kucheza wajukuu....
Hii karne hataiweza kamwe.....
Utamuonaaa hapooo....subirii tùuuGombe si National park....? 😳😣
Ndio nani GombeeUtamuonaaa hapooo....subirii tùuu
Juzi kamkebehi Mola kwamba atakuwepo May,2030 kwenye kilele Cha Mwanamke!! HayaSamia Mitano tena