Dodoma: Serikali kuanzisha kiwanda cha mafuta ya bangi

Dodoma: Serikali kuanzisha kiwanda cha mafuta ya bangi

malisoka, emu penda kufanya research kabla hujaongea 1st bangi haijaruhusiwa jamaica kiivo zaidi ya kutumika kama dawa sio kuvuta(recreation) 2nd nchi inayooongoza kwa mauaji duniani ni el Salvador na hawajaruhusu bangi kabisaaa kama hapa tz tu alafu pia magenge mengi ya madawa yapo mexico tofautisha weed na madawa ya kulevya (cocaine ,heroine)

Jamaica hata uvutaji wa bangi haipo top 20 Tanzania watu wanaovuta bangi kwa takwimu ni 3.6million ambayo ni zaidi ya population ya jamaica pia usisahau jamaica inapokea watalii 4+ milion huu wengi wao wakiwa wanaenda jamaica kutokana na weed culture pia in additional hayo uliyosema hayaendani na bangi bangi kama mmea wenyewe haina huo ujinga
nb;, watu wengi mnashindwa kutofautisha madawa na weed hata hawa vibaka wengi n madawa na kumix weed na ciga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The great jay,
uwe unasoma vizuri nimesema " Ni moja ya nchi" sio namba 1 ila ni moja ya nchi zenye kiwangu kikubwa.
 
malisoka, Hivi unajua kama Tanzania kuna wavuta bangi wengi kuliko Jamaica?

Takwimu za mwaka jana Tanzania ina wavuta bangi takribani milioni 3.6 wakati Jamaica ni watu chini ya laki 2.

Jamaica hawaruhusiwi kutunza bangi zaidi ya gramu 56.Pia hairuhusiwi kulima zaidi ya miche 5.

Jamaica haipo hata katika top 20 ya nchi zinazoongoza kwa uvutaji wa bangi.

Kingine Jamaica imeruhusu bangi mwaka 2015. Sio zamani sana, tena kwenye matumizi ya dawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waruhusu haraka watu tuliyoko mikoa ya Mara, Arusha, Iringa na Njombe tuweze kunufaika na zao hilo. Pia tuweze kuathirika na athari za bangi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cha Arusha kipewe kibali maalum la sivyo 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️
 
CCM hoyeeee wanatekeleza Ilani
IMG_20200204_103306.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisikiliza hotuba za waliochangia mjadala huu wa BANGI huko Bungeni utaona wamejikita zaidi kwenya masuala ya uchumi,wanaposema bangi imepanda bei maana akili zao zimejikita kwenye pesa hawakumbuki tena maadili,

lakini pia wanazungumzia kuhusu tiba iliyogunduliwa na wazungu ikihusisha bangi ila wamesahau kuwa bangi imekuwa tiba kwa miaka yote ambayo ilikuwa inapigwa vita na wakulima wa zao hili walichomewa bangi yao na nyingine ilichukuliwa bila kujua inapelekwa wapi.Jambo kubwa hapa ni kuwa katika kulima itatumiwa na wengi,kifupi mapusha watapata unafuu wa kusambaza vijiti mtaani....letaaaa baba legalize it yeah.... 🥳
 
Ukisikiliza hotuba za waliochangia mjadala huu wa BANGI huko Bungeni utaona wamejikita zaidi kwenya masuala ya uchumi,wanaposema bangi imepanda bei maana akili zao zimejikita kwenye pesa hawakumbuki tena maadili,lakini pia wanazungumzia kuhusu tiba iliyogunduliwa na wazungu ikihusisha bangi ila wamesahau kuwa bangi imekuwa tiba kwa miaka yote ambayo ilikuwa inapigwa vita na wakulima wa zao hili walichomewa bangi yao na nyingine ilichukuliwa bila kujua inapelekwa wapi.Jambo kubwa hapa ni kuwa katika kulima itatumiwa na wengi,kifupi mapusha watapata unafuu wa kusambaza vijiti mtaani....letaaaa baba legalize it yeah.... [emoji3060]
alafu mkuu huu upumbavu wa maadili unaturudisha nyuma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom