Mbona usiongelee nchi kama Netherlands, iliyofanikiwa, licha ya kuruhusu mmea.
Sent using Jamii Forums mobile app
utabaki hivyo maana bila maadili ,utakuta siku dada yako na kaka yako wanapigana miti,utakuta siku baba na mtoto wanalovelove,eeee bila maadili hakuna anayeweza kutoa heshima...so we should not risk kisa bangi...tunamazao mangapi ya biashara tumeshindwa kuyatafutia masoko,yees tumeshindwa, leo tunarukia bangi sababu imepanda bei ,mbona kunakipindi mbaazi ilipanda bei leo je? lets morals be morals
tofautisha maadili na anasautabaki hivyo maana bila maadili ,utakuta siku dada yako na kaka yako wanapigana miti,utakuta siku baba na mtoto wanalovelove,eeee bila maadili hakuna anayeweza kutoa heshima...so we should not risk kisa bangi...tunamazao mangapi ya biashara tumeshindwa kuyatafutia masoko,yees tumeshindwa, leo tunarukia bangi sababu imepanda bei ,mbona kunakipindi mbaazi ilipanda bei leo je? lets morals be morals
Nakuja Hapo Mkuu[emoji30][emoji30][emoji30][emoji23]niko Kingston ila sikai sana
Jr[emoji769]
Nakuja Hapo Mkuu
hatari kubwa.
Nchi kama Jamaica ambayo bangi imeruhusiwa.
Ndiyo moja ya nchi yenye mauaji makubwa kila mwaka duniani
Wizi wa fedha, heleni dhahabu nk
Ni nchi yenye magenge hatari ya madawa ya kulevya.
Kwa hiyo Tanzania ijiandae kwa hayo.
Hahahah hahaha leta leta tuinyweeeeeUkisikiliza hotuba za waliochangia mjadala huu wa BANGI huko Bungeni utaona wamejikita zaidi kwenya masuala ya uchumi,wanaposema bangi imepanda bei maana akili zao zimejikita kwenye pesa hawakumbuki tena maadili,
lakini pia wanazungumzia kuhusu tiba iliyogunduliwa na wazungu ikihusisha bangi ila wamesahau kuwa bangi imekuwa tiba kwa miaka yote ambayo ilikuwa inapigwa vita na wakulima wa zao hili walichomewa bangi yao na nyingine ilichukuliwa bila kujua inapelekwa wapi.Jambo kubwa hapa ni kuwa katika kulima itatumiwa na wengi,kifupi mapusha watapata unafuu wa kusambaza vijiti mtaani....letaaaa baba legalize it yeah.... 🥳
Soon bangi itahalalishwa.
Ila na hospital mfano wa ya milembe ya Dodoma zijengwe kila mkoa na wataalamu wa pia wa magonjwa ya uchizi waongezwe(wapatie mafunzo).
Hahaaaa!! Kwanza ungetafuta maana ya neno AJABU ndipo uje na maneno haya. Kwahiyo na yale maajabu saba ya dunia yamewekwa na wasiojielewa ama
emu kuwa unafanya research mkuu emu tuletee hao watoto wanaolelewa majumbani kwa sababu ya weed kwanza hakuna mahali mtoto anaweza pata bangi maana inauzwa chini chini na anayekuuzia lazima anakujua kwa mbali ila twende kwenye bia ni family ngapi zinateseka kisa wazazi wanakunywa pombe nahisi karibia 50% ya familia hazina amani kisa pombe ukienda kwenye sigara uko ndio kuna kansa nakila kitu kwani hayo huyaoni ni majanga makubwa jitahidi usichanganye kati ya weed na drugsMkakati huu ni hatari. Majumbani watu wanalea watoto waliohadhirika na uvutaji bangi. Hivi fedha ni muhimu kuliko watoto wetuuu. Inasikitisha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm ya viwanda ndo imeshagundua matumizi yake ikaaamua kusaka wawekezajiWadau wa ganja wakiwa wanaitetea wanakwambia Mungu alipoumba Dunia, aliona kila kitu ni chema.
Tatizo la Bangi ni kuwa labda matumizi yake sahihi mpaka sasa hayajagundulika.
Tusubiri labda tutakuja gundu matumizi sahihi ya Bangi huko mbeleni.
emu kuwa unafanya research mkuu emu tuletee hao watoto wanaolelewa majumbani kwa sababu ya weed kwanza hakuna mahali mtoto anaweza pata bangi maana inauzwa chini chini na anayekuuzia lazima anakujua kwa mbali ila twende kwenye bia ni family ngapi zinateseka kisa wazazi wanakunywa pombe nahisi karibia 50% ya familia hazina amani kisa pombe ukienda kwenye sigara uko ndio kuna kansa nakila kitu kwani hayo huyaoni ni majanga makubwa jitahidi usichanganye kati ya weed na drugs
Sent using Jamii Forums mobile app
Soon bangi itahalalishwa.
Ila na hospital mfano wa ya milembe ya Dodoma zijengwe kila mkoa na wataalamu wa pia wa magonjwa ya uchizi waongezwe(wapatie mafunzo).