Dodoma: Serikali kuanzisha kiwanda cha mafuta ya bangi

Wewe nawe acha ujinga, usitoe takwimu linganishi za bangi, huo ni uongo, uhalifu upo dunia nzima na hauna uhusiano na bangi. Mvuta bangi anaweza kuwa mwema au muovu, ila issue sio bangi. Bangi ni starehe kama zilivyo ngono na pombe, zaidi sana ni dawa.
hatari kubwa.

Nchi kama Jamaica ambayo bangi imeruhusiwa.

Ndiyo moja ya nchi yenye mauaji makubwa kila mwaka duniani

Wizi wa fedha, heleni dhahabu nk

Ni nchi yenye magenge hatari ya madawa ya kulevya.

Kwa hiyo Tanzania ijiandae kwa hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda sasa ndoto yangu ikatimia[emoji377][emoji377][emoji377]
Your browser is not able to display this video.



cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
 
Nakuelewa sana Jah man..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba tenda ya kununua mabaki niachiwe mimi....

Jr[emoji769]
Mpaka na kwa walozi ni dili!!!!! Si tutarogwa mtu unaamka asubuhi upo sayari isiyofahamika huko!!
 
Where r we going? GANJA TENA JAMANI!!!!
 
Soon bangi itahalalishwa.

Ila na hospital mfano wa ya milembe ya Dodoma zijengwe kila mkoa na wataalamu wa pia wa magonjwa ya uchizi waongezwe(wapatie mafunzo).


Hiyo ndiyo multiplier effect katika uchumi, watu wanalima bangi inauzwa mapato yanapatikana kwa wahusika na serikali inapata kodi yake, watu wanavuta bangi, vichaa wanaongezeka, mahospitali ya vichaa yanajengwa, madaktari wa kutibu vichaa hao wanapata ajira na wanalipwa mishahara, madawa ya kutibu hao wagonjwa wa akili yanaagizwa na serikali kupitia kodi iliyotokana na bangi, maduka ya madawa ndani yanapata vipato kwa ajili ya madawa ya vichaa wa bangi, uhalifu unaongezeka kutokana na watu kuongezeka kutumia bangi, security guards wanapata ajira kudhibiti uhalifu na wizi unaotokana na wavuta nngi---- ni long chain of multiplier effect due to legalising marijuana in any way.
 
Where r we going? GANJA TENA JAMANI!!!!


Wacha wahalalishe, itafika wakati itaharamishwa kama pombe ya viloba na mifuko ya plastics -- hayo mawili wameweza ila kwa bangi kamwe hawataweza??-- watajuta kwanini waliruhusu.
 
Nipo tayari kuchukua tenda ya kusambaza yenye mafuta mengi kwa huyo mwekezeji kama serikali itanipa ruhusu.
 
umejiongeshesha tu haujajibu hoja alafu acha kupenda kuona mawazo yako ndio yanafaa kwa watu wote maana unavolilia vijana utasema vijana wanakulilia na ww narudia kusema ivi hii ni dunia tuliumbwa tuenjoy focus kwenye namna ya kuenjoy acha kuwazia watu wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameshindwa kuuza nyanya na maembe Ulaya na uarabuni eti wanawaza bangi leo
Kuna watu huwa wanawaza kama kuku


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Pethidine ni dawa ya maumivu makali mfano ya mifupa iliyovunjika na hata hospitali manesi wakikabidhiana shift wana sainiana kama wanazo.
Inatangenezwa na madawa ya kulevya morphine.
Twende na wakati wenzetu wakikimbia sisi angalau tuanze kutambaa.Sheria nyingi ziliwekwa na wakoloni ona hata hii ya uzururaji waliweka ili watu wakafanye kazi mashamba ya mikonge ili walipe kodi na wasiji organise kudai uhuru.
Hivi soda ya coca cola mnajua asili yake?wasabato sio wajinga kuikataa.
Bangi ikitumika kwa malengo mazuri ni dawa.
Mashudu ya mbegu za bangi ni chakula cha mifugo.
Maji ya mmea wa bangi uliopondwa ni dawa ya sikio otorrea au otitis media.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo tayari kuchukua tenda ya kusambaza yenye mafuta mengi kwa huyo mwekezeji kama serikali itanipa ruhusu.

Ni mbegu za bangi ndio zinakamuliwa na kuwa mafuta
Bei yake ulaya kwa 10ml ni 120,000 ya bongo sio hela ndogo lakini je kupata 100ml ni gunia ngapi za mbegu?



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
 
Nimeuza sana hizi mbegu
Wanatumia kupikia mikate



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Af nassikia huwa haipaliliwi,haipigwu dawa yaan ni kulima kupanda na kuvuna tu,,, gunia moja la kilo 100 ni laki 3 af mahindi ni alfu 70000 bora kulima bange tu serikali ifanye haraka kuhalalisha
 
Soon bangi itahalalishwa.

Ila na hospital mfano wa ya milembe ya Dodoma zijengwe kila mkoa na wataalamu wa pia wa magonjwa ya uchizi waongezwe(wapatie mafunzo).
Bangi haina uhusiano na uchizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…