Dodoma: Serikali yasitisha mradi wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa kati unaopita kata ya Nkuhungu

Dodoma: Serikali yasitisha mradi wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa kati unaopita kata ya Nkuhungu

Tunafanya kazi ndomana tumewazidi mtwara japo tupo jangwani na nyie mpo kwenye neema zote lakini hamtupati
Acha upuuz wewe, tofauti na serikali mlikuwa na nini hapo???? kinachowabeba na serikali kuhmia hapo
 
JPM hakuwa na akili,mradi kama wa airport ya Chato ulikuwa hauna maana kwa sasa,alikurupuka tu,
Hivi kama una akili timamu unawezaje kuweka international airport kwenye wilaya kabla ya makao makuu ya mkoa,yaani ujenge airport Karagwe kabla ya Bukoba mjini,au Hai kabla ya Kikimanjaro,au mpwapwa kabla ya Dodoma mjini.
we acha tu
 
Upembuzi yakinifu maana yake nini?

Hii nchi ilihitaji kiongozi shupavu anayeweza kuisukuma mbele kwa nguvu. Na mtu pekee aliyeweza kufanya hivyo ni Magufuli pekee.

Nchi lazima ijengwe na wenye akili na wanaojitambua, sio MAJIZI wanaojificha kwenye maneno ya kitapeli na ujanja ujanja.

Mara sijui upembuzi yakinifu sijui nini nini! Upuuzi mtupu!

Ndio maana ndani ya miaka mitano tu, nchi imejengwa kweli kweli. Maana alikuwepo mtu anayejitambua.

Mabarabara, vituo vya afya, ndege, meli sijui manini. Kila mahali miundombinu.

Nyinyi magoigoi mmejifungia vyumbani mnajamba tu na kuja na stori uchwara, ati upembuzi yakinifu.

Fanya kazi, acha ujanja ujanja!

Huo upembuzi yakinifu kafanye na mmeo huko. Wananchi wanahitaji kazi sio blah blah.

White elephant project wewe goigoi hivi kile kilichojengwa pale tazara unakuerewa kweri
 
Acha upuuzi wako. Kila mkoa ni nyumbani kwa Mtanzania yoyote anayetaka kuishi, wala haihitaji passport au visa kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine.
nani kakwambia? waulize wamakonde pamoja nchi hii sio yao wana wimbo kila mtu anakwao! huo mji wa wamatumbi nyinyi kaeni tu
 
Mleta mada hili bandiko si kweli, mbona watu wanafidiwa ili kazi ianze ?
jana jioni nimeifuatilia ni kweli watu wanalipwa ila inawezekana kwa hiyo sehemu ya nkuhungu ndiyo haitahusika kuna uwezekano wamefanya marekebisho.
nilikuwa na mtu mmoja anayefuatilia huo mradi kwa ukaribu wizara mmoja hivi akanijibu hivyo .
kwa hiyo ipo ila Nkuhungu labda haitapita.
 
jana jioni nimeifuatilia ni kweli watu wanalipwa ila inawezekana kwa hiyo sehemu ya nkuhungu ndiyo haitahusika kuna uwezekano wamefanya marekebisho.
nilikuwa na mtu mmoja anayefuatilia huo mradi kwa ukaribu wizara mmoja hivi akanijibu hivyo .
kwa hiyo ipo ila Nkuhungu labda haitapita.
soma.barua vizuri hapo chini,inasema kusitisha ujenzi wa barabara ya mzunguko wa kati(middle ringroad).barua haijasema kuchepusha plan ya awali ya barabara!
 
Hapo nadhani ilio ondolewa ni middle ring road ambayo ni ile ring road ya kati. Outer ring road ambayo ndio ya muhimu zaidi na ambayo itakua funded na ADB bado ipo kwenye plan. Na outer ring road ndio muhimu zaidi ku route big trucks traffic ya zile njia nne kubwa kutoka nnje ya jiji bila ya kuingia Dodoma city center
 
Hapo nadhani ilio ondolewa ni middle ring road ambayo ni ile ring road ya kati. Outer ring road ambayo ndio ya muhimu zaidi na ambayo itakua funded na ADB bado ipo kwenye plan. Na outer ring road ndio muhimu zaidi ku route big trucks traffic ya zile njia nne kubwa kutoka nnje ya jijini bila ya kuingia Dodoma city center
Ndo tunahoji,kwa nn waiondoe!?,kpnd Wana iplan hii barabara naamini waliona umuhimu wa kuweka hii barabara mapema.
 
Serikali ya awamu ya tano ya Hayati Magufuli sote twajua iliasisi miradi mingi ktk maeneo mbalimbali ya nchi,mfano bwawa la mwal. Nyerere,reli ya mwendo Kasi (SGR) ,barabara za njia nane,ringroads na miradi mingine mingi.

Miradi hii kiukweli ilileta mabadiliko makubwa ya maendeleo ya miji na vijiji,na kuleta mvuto wa miji maeneo ambayo miradi hiyo ilipita.

Baada ya kifo Cha Hayati Magufuli, aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, kuna mijadara mingi mitaani kuhusu kuendelezwa kwa hii miradi.katika pitapita nikakutana na hili la kusitishwa kwa ujenzi wa ringroad ya kati ya jiji la Dodoma, ambayo ilipitia maeneo ya mtaa wa Nkuhungu

Mkurugenzi wa jiji la Dodoma amesitisha ujenzi wa ringroad hiyo, na kuwaruhusu wananchi waendelee na shughuli zao za ujenzi kama kawaida. Mradi huu wa ujenzi wa middle ringroad hii ,ni baadhi ya miradi ambayo iliasisiwa kipindi Cha Hayati Magufuli enzi za uhai wake,ktk kulifanya jiji la Dodoma kuwa na muonekano mzuri na uliopangika vizuri.

Kwasasa mitaani watu wanajadili je!, hii miradi iliyoasisiwa na Hayati Magufuli itakamilika kweli!? au ndo hivyo tena itabaki kuwa hadithi isiyokuwa na mwisho!!

Japo kuna siku nilimsikia Waziri Mkuu akiwatoa wasiwasi watanzania kwa kusema , "watu waondoe mashaka miradi yote ya kimkakati iliyoasisiwa na Serikali ya awamu ya tano, yote itakamilishwa kwa muda uleule uliokuwa umekadiliwa awali, enzi za uhai wa Hayati Magufuli".

Je!,ilikuwa ni kuwatuliza watu pressure za mashaka au !. Kama hii miradi midogo imeanza kusitishwa mdogomdogo, je hii mingine ya mabilioni ya pesa itakuwaje!? Anyway ngoja tuone mambo yatakuwaje.

Ila wananchi tumeyatunza maneno ya Waziri Mkuu kwenye kumbukumbu zetu, alitutia moyo na kutuondoa mashaka kwamba miradi yote iliyoasisiwa na Serikali ya awamu ya tano itakamilika.

Waziri Mkuu ,tunakumbuka maneno yako,ipo siku tutataka utupe maelezo ,ilikuwaje??

Middle ring road haukua siyo katika miradi ya kimkakati ulikua ni mradi wa kupendezeqha mji wa dodoma. Mradi wa kimkakati ni Dodoma city outer ring road ambao anaendelea na ujenzi.

Tujifunze kutafuta habari kwa kina siyo kutoa povu tu kujifanya tunajua kuliko raisi.
 
Hapo utakuta inner, middle and outer ring road

Screenshot_2021-06-10-16-08-47.png
 
DODOMA pabaya huwezi kupafanya pawe pazuri kwanza mkoa gani upo upo tu umepauka vile. Hiyo Miradi bora wapeleke Mtwara maana tutanufaika na gas na Samak,dagaa,korosho . Damn Dodoma
IPO hivi kwa kuwa chetu cha Msalato na Outer tumepewa Sasa wajenge wasijenge sawa TU!
 
Huu mradi vipi nilisikia same ukancel haupo tena? Tupe data wadau wa Dodoma kama unaendelea
 
Mbona yule alosema Rais yupo ikulu anachapa kazi kasema huo mradi haupo
 
Baada ya miaka 50 ijayo ndo watajua wazo la Magufuli lilikuwa Viable au not viable. Maana hata Nyelele enzi hizo wengi hawakumuelewa.
 
Huu mradi vipi nilisikia same ukancel haupo tena? Tupe data wadau wa Dodoma kama unaendelea
Ujenge Barabara ambayo haina Manufaaa kwa sifa tu kama Daraja la Tanzanite ili Wagogo wapitishe Mbuzi
 
Back
Top Bottom